Kuanzia tarehe 20 dunia nzima ya mashabiki wa soka macho na masikio ni nchini Qatar. Itakuwa kero sana kwa mashabiki wenye akili timamu anaingia kibanda umiza kuangalia mechi ya Senegal dhidi ya Uholanzi halafu anakutana na mechi ya yanga dhidi ya Dodoma jiji kwenye TV nyingine, hiyo ni kero...