ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    Yanga msitafute mfungaji bora wa ligi

    Wacha mfungaji bora ajitokeze tu by chance na sio kulazimisha lazima mfungaji bora atoke Yanga. Kufanya hivyo kutakuwa na athari kadhaa zikiwemo: 1. Kumchosha mchezaji mmoja huyohuyo ambae mnamtaka awe mfungaji bora kwenye ligi. mtamlazimisha kumchezesha mechi zooote za ligi. 2. mchezaji huyo...
  2. Rais2045

    Naomba ratiba kamili ya Ligi Kuu Bara

    Wakuu naomba ratiba kamili ya LIGI KUU BARA Natanguliza shukrani
  3. Vishu Mtata

    Ihefu aanza vibaya tena ligi kuu

    Leo mbungi ilikua inapigwa kule ubaruku kati ya ihefu na ruvu shooting. Kama ule msimu aliopanda daraja mechi ya kwanza alipigwa na mnyama na leo tena ruvu wamembonda tena hukohuko ubaruku. Aisee mwanzo mbovu kabisa, mechi ya kwanza tena nyumbani na unabutuliwa. Ila wamejitahidi kadri ya...
  4. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tunaanza Ligi na Tanzania Prisons, patamu hapo

    Watu wa Soka, Salamu kutoka Singida Big Stars. Ratiba ya Ligi Kuu imeshatoka na mechi yetu ya kwanza tumepangiwa kucheza uwanja wa nyumbani na Wajelajela Tanzania Prisons siku ya Jumanne Agosti 16, 2022. Nafahamu kwamba Mashabiki wetu, watanzania na watu kutoka mataifa mbalimbali siku hizi...
  5. Mganguzi

    TFF wanasheria za mkoloni ni mungu watu. Bodi ya Ligi ni kama mzinga wa nyuki. Yanga awamu hii msikubali na kinachoenda kutokea

    TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia. Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya...
  6. GENTAMYCINE

    Huyu Mzungu wenu Mserbia akiwa Muhuni kama Fraga Ligi ataiweza ila akiwa Lonyo Lonyo kama Carlinhos ( Muangola ) wa Yanga SC hatoiweza

    Fraga mpaka Bange alishaanza Kuvuta na alikuwa anafika ( anagongana ) na Kukichafua huku Ukijipendekeza unakula ama Ndole au Kipepsi na Kutulia hadi akawa anaogopwa na Wachezaji wa Timu Pinzani. Kwa huyu Mzungu Mserbia wenu ( ambaye GENTAMYCINE simkubali ) kwa nilivyomuona tu Pichami alivyo...
  7. Prakatatumba abaabaabaa

    Nafurahi kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi lakini...

    Karibuni kwenye huu mjadala. Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi saaana, yote ikichagizwa na azam media kongole kwao kwa udhamini mnono. Tumeshuhudia timu Kama Simba, Yanga, Azam wakiwa na uwezo wa kung'oa wachezaji tokea mataifa makubwa tena wakiwa...
  8. Kurunzi

    KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast

    KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas. Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
  9. Mengi Ayoub

    Uzi mpya ligi kuu

    Hivi macho yako yanaona kama mimi ? Nasikia Hadi traffic wapo
  10. Ismail Tano

    Ukweli usiopingika kuhusu Ligi Kuu Tanzania Bara

    Endapo mtu angepata nafasi ya kurudi mwaka 2010 na kuwahadithia wapenzi na mashabiki wa soka la Tanzania kuwa utafika muda ligi kuu Tanzania bara itakuwa kubwa na kuwa na mvuto katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati kwamba wachezaji wa ligi kuu ya Uingereza pamoja na Ligi Kuu ya Ufaransa...
  11. S

    Databade/Dataset ya mechi zote za ligi kuu bata

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Kwa mwenye uelewa kido ni wapi naweza pata mechi zote zilizochezwa toka liki kuu ya Tanzania bara toka imeanza hadi sasa. Iwe kivyovyote vile au katika mfumo wowote ule, Nimejaribu kuangalia kwenye tovuti ya TFF sijapata muongozo wa moja kwa moja.
  12. sky soldier

    Simba acheni uongo, jana mmecheza na kikosi cha madereva taxi wa timu ya Ismail, timu kuu ilicheza ligi kuu

    Ismailia Wamecheza Jana mechi ya ligi ya kwao, leo mnawapiga fix mazuzu wenu mlionunua klabu yao milele kwa bilioni 20 za kwenye bango,,Eti mmecheza nao mechi. Nyieeee, Yaan Jana wacheze mechi ya ligi tena away,,kisha leo mcheze nao mechi ya kirafiki? Kuweni Serious, Waambieni ukweli Wafuasi...
  13. sky soldier

    Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

    Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo? Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
  14. M

    Ushauri wa bure kwa TFF na Bodi ya Ligi kuhusu utoaji we Tuzo kwa Msimu ujao 2022 / 2023

    Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi. Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...
  15. GENTAMYCINE

    Bodi ya Ligi Hasira zenu za Mayele kukosa Ufungaji Bora msizihamishie katika Tuzo

    Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi Kuu ya NBC ) na hilo Bichwa lako Kubwa kama Papai za Mgeta Mkoani Morogoro huo Uyanga wako na hizo Pesa za Kuhongwa na GSM zitakutokea Puani Siku Moja. Bodi ya Ligi ( TPLB ) chini ya Mwenyekiti wake Almasi Kassongo hivi mliwaza nini mpaka mkasena kuwa Tuzo...
  16. LUBEDE

    Msimamo wa ligi kuu ya baridi

    Kwa namna hali ilivyo hapa nani atachukua kombe msimu huu?
  17. Greatest Of All Time

    Julio: Bingwa wa ligi kuu ya NBC bado hajapatikana

    Akohojiwa na mwandishi wa Azam Sports 1HD, kocha msaidizi wa Namungo Fc Jamhuri Kihwelo Julio anasema mpaka sasa bado bingwa wa NBC premier league hajapatikana. Anasema kama Mama Samia akisimamisha ligi leo, Simba ndio atakuwa mwakilishi wa kimataifa. Hivyo, yeye anaamini kuwa mpaka ligi...
  18. Hussein Massanza

    Singida Big Stars tumefuzu Ligi Kuu Tanzania Bara, tupeni ushauri

    Watu wa Soka, Naitwa Hussein Massanza. Ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano; Pia Afisa Habari na Msemaji wa Singida Big Stars FC (zamani DTB FC). Timu yetu imefanikiwa kupanda daraja na kufuzu kucheza Ligi Kuu kuanzia msimu ujao wa 2022/2023, hivyo nitumie fursa hii kuwashukuru mashabiki...
  19. Influenza

    Ratiba ya Ligi Kuu England 2022/23: Arsenal kutufungulia pazia dhidi ya Crystal Palace. Ratiba yote ipo hapa

    Pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2022/23 litafunguliwa Agosti 5, 2022 ambapo Crystal Palace itavaana na Arsenal kabla ya Manchester City kuanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham Chelsea itaanza mbio zake za kuwania Ubingwa dhidi ya Everton mnamo Agosti 6 na Kocha Erik ten Hag wa...
  20. GENTAMYCINE

    Leo nimeamka nina 'Mood' ya kutaka Kubishana tu tafadhali anayetaka 'Ligi' ya Ubishani nami karibu

    Nasikia kumbe aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Obama alikuwa Shoga ( Gay ) ila kumbe yule tuliyekuwa tunadhani ni Mkewe Michelle Obama hakuwa Mwanamke bali alikuwa ni Mwanaume na inasemekana hata Wamarekani kadhaa ( wenye Akili Kubwa na Udadisi wa Mambo hili ) walilijua ila CIA ilitumia Nguvu...
Back
Top Bottom