Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.
Ukitaka kujua tanzania tuna ligi ya hovyo angalia huu msinamo kuanzia timu ya tatu kwenye msinamo hadi ya mwisho zimepishana point kumi na moja tu.
Kama Simba anandoto za kuwa bingwa licha ya gepu la point alizoachwa na yanga basi hata mbeya kwanza anaweza kumaliza msimu akiwa nafasi ya tatu...
Ligi Kuu ya Tanzania Bara mdhamini wake mkuu ni ni Benki ya NBC ambaye amechukua jina kabisa la ligi hiyo ikiitwa Ligi Kuu ya NBC.
Upande wa pili kuna Championship au Ligi Daraja la Kwanza ambayo huwa inatoa timu zinazopanda daraja kwenda kucheza katika Ligi Kuu.
Swali au hoja ambayo nilikuwa...
Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao kutokufanya vizuri.
Wakati mwingine wakaenda mbali zaidi na kuhisi pia chama cha soka kimewakumbatia zaidi...
Msimamo wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa baada ya Yanga kuifunga Azam FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa Aprili 6, 2022.
Kwa matokeo hayo sasa Simba imezidiwa pointi 14 na vinara hao wa ligi licha ya kuwa Simba wana michezo miwili mkononi.
Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano
Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na...
Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake.
Chanzo: Mwanaspoti
Mpaka leo Jumatano Machi 16, 2022 katika mzunguko wa 17 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC PL 2021/22), kikosi cha Yanga kimeongoza kwenye takwimu muhimu nne.
● Magoli ya kufunga – 29
● Magoli ya kufungwa – 4
● Assists – 21
● Cleansheets – 13
Je, unadhani hizi ni dalili tosha za ubingwa kwa...
Hiki ni kiashiria kingine kuwa safari hii mambo ni mazito na kuna mambo ya kiufundi hayako sawa kwenye kikosi kizima cha Simba, mpira siku zote ni takwimu na timu bora utaipima kwa takwimu uwanjani.
Orodha ya timu na wachezaji waliokosa mapigo ya penati katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara 2021/2022 mpaka sasa Machi 6, 2022 kabla ya mchezo wa Geita Gold dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Source: Bodi ya Ligi
Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm.
Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup zinatuharibia wachezaji wa ligi kuu kwani wengi huumia wakiwa wanacjeza huko kwenye viwanja vibovu.
Sasa...
Hiki ni kikosi bora mzunguko wa kwanza mpaka sasa tumeingia mzunguko wa pili.
Djgui diarra
djuma shaban
kibwana shomary
Dickson job
bakari mwamnyeto
Litombo bangala
aucho
feisal salum
saido ntibazonkiza
fiston mayele
jesus moloko.
SUB : aishi manula, shomary kapombe, Mohamed...
Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
Asubuhi ya leo nimeamka na taarifa niliyoikuta mitandaoni kuwa Bodi ya Ligi inayosimamia Ligi Kuu kwamba haijamlipa mshambuliaji wa Simba, Chriss Mugalu fedha zake za Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa Ligi Kuu.
Nimejaribu kupekenyua sijajua hasa ni ipi inayozungumzia lakini niliyoiona labda ni...
Nimetoka kuangalia mechi ya mtoano, Kombe la Shirikisho la Azam muda si mrefu kati ya Tanzania Prisons vs Polisi Tanzania, na ambako Polisi Tanzania wamefanikiwa kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya Tanzania Prisons.
Kiukweli uwanja umeharibika vibaya kiasi cha kudhani labda...
Bongo buana mambo ni mengiiiii lakini muda mchache, ndiyo maana wanasema ukiishi Bongo ukifa kwa stress basi wewe jua umejitakia.
Ligi yetu inaendelea, sasa hivi kuna kurushiana maneno mitandaoni na kwenye vyombo vya Habari hasa Yanga, Simba na kidogo Azam FC wanasikika kwa mbali.
Mtaani...
Wakuu mimi ni Yanga kindakindaki na hakuna ambae hajui humu.Huwa naumia sana timu ndogo inapokandamizwa pindi zikutanapo na either Yanga yangu au Simba (Mbembwaji mkuu).Tangu msimu uliopita haya madudu ya marefa yalikuwepo na sasa yanaendelea (yaan karia anasema kazi iendelee).Yafuatayo ni...
Mpira wetu ni Mali ya TFF, TFF ndio wenye mpira wao kwa mujibu wa Katiba ya TFF, cecafa, Caf na FIFA.
Viongozi wa TFF wajitafakari kama wanatosha kuendelea kuongoza mpira nchini kwa haki bila upendeleo na bila woga. TFF Ina mapungufu makubwa sana ya kufanya fairness kwa timu zake dhidi ya timu...
Na msisahau hata Boss wao Mkuu kwa upande wa Tanzania ni Mheshimiwa Mbunge wa Kinondoni na mwana Yanga SC lia lia Tarimba Abbas Tarimba lakini bado waliweza Kuzungumza na Simba SC na Wakafanikiwa.
Nyie GSM kwa Ushamba wenu na Kukurupuka Kwenu Siku ambayo mliingia Mkataba wa Udhamini Mwenza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.