ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. TFF hali tete, yahaha kusaka mdhamini mpya Ligi Kuu

    RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
  2. Hivi ni kweli Saido Tibazonkiza amecheza ligi kuu ya ufaransa (league I)?

    Jana wakati wa mechi ya Yanga na Geita nimemsikia zaidi ya mara 3 mtangazaji wa Azam sports ambaye alikuwa mtangazaji wa mechi hiyo. Alisema kuwa Saido Ntibazonkiza alikuwa akicheza ligi kuu ya ufaransa kabla ya kutimkia yanga. Swali langu kwanini yanga wamemuachia mchezaji huyu mwenye uzoefu...
  3. Ni kweli kesho kuna mchezo wa ligi kuu kati ya simba na yanga?

    Habari wakuuu. Nimeomba niulize hili swali kwenu wadau. Nilikuwa na ndugu watatu TFF akiwemo katibu mkuu mstaafu. Wawili wametoka amesalia Kuwepo ofisini. Niende Moja kwa Moja kwenye swali, JE ni kweli kesho kutakuwa na mchezo kati ya Simba na Yanga??? Hizi timu TFF. Bodi ya ligi. Hata...
  4. Tanzania Prisons na Singida Big Stars zafungiwa kusajili Ligi Kuu

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imezifungia kusajili klabu za Ligi Kuu ya NBC za Tanzania Prisons na Singida Big Stars kwa kosa la kusajili wachezaji wenye mikataba na klabu zingine. Uamuzi wa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji umefanywa...
  5. FT: Prison 1 - 0 Azam, Ligi Kuu ya NBC

    FT: TANZANIA PRISONS 1-0 AZAM FC 46’—⚽️ Jeremiah Juma NB: Azam hawakupiga Shuti lolote lililolenga lango la Prisons.
  6. Ligi kuu ya NBC itasimama wakati Okrah atakapokuwa kwenye kombe la dunia?

    Ligi kuu huwa inasimama kupisha mechi za timu za taifa. Je! Wakati Augustine Okrah atakapokuwa anaiwakilisha Ghana itabidi ligi kuu Tanzania bara isimame?
  7. Stephano Aziz Ki aitwa timu ya Taifa ya Burkinafaso, kikosi chao hakuna mchezaji anayecheza ligi ya kwao

    Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan. .... Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki (26) tayari ameanza mazoezi...
  8. Natabiri timu zitakazofika Makundi kwenye ligi ya mabingwa Africa

    1.Al Ahly 2.Wydad Casablanca 3.Esperance de Tunis 4.Raja Casablanca 5.Mamelodi Sundowns 6.TP Mazembe 7.Zamalek 8.Horoya 9.Petro de Luanda 10.Simba 11.CR Belouizdad 12.JS kabylie 13.Al Hilal 14.As Vita Club 15.Al-Ahli Tripoli 16.Coton Sport
  9. Yanga imedhihirisha ukubwa wake Afrika

    Wakuu, ni wazi kabisa katika ukanda huu wa CECAFA mkubwa wa soka amerejea mahali pake. Pamoja na upepo mbaya uliopita miaka kadhaa nyuma, sasa Yanga inathibitisha rasmi kuwa ndio klabu kubwa Afrika Mashariki na Kati kwa kuteka hisia na mioyo ya mashabiki mitandaoni na nje ya mitandao ya kijamii...
  10. Msimamo wa ligi kuu NBC baada ya mizunguko minne

  11. Serikali kurudisha Ligi ya Muungano ili kuupa afya Muungano, yaunda kamati kutathmini gharama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul akijibu swali Bungeni amesema Kamati imeundwa kufanya tathimini ya kurejesha Ligi ya Muungano ambayo inajumuisha timu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar. Waziri Gekul amesema “Tumekuwa na mazungumzo kati ya TFF, BMT na ZFF kwa...
  12. C

    SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  13. Wachezaji wengi Ligi Kuu hawana Adabu, wana kiburi sana!!

    Inawezekana wanaamini kuwa mpira ni kusukuma tu gozi uwanjani ama makocha wao hawawafundishi kuwa mpira ni sayansi na ni sanaa pia. Labda pia wanadekezwa na udhaifu wa Marefa wetu katika kusimamia sheria za Mpira uwanjani. Zaidi inawezekana wanatiwa ujinga kwa utetezi wa matendo yao ya kihuni...
  14. T

    Sapoti ya timu ya mpira ya Tanzania bara

    Hamna kitu sasa hivi kinaumiza watu kama timu yetu ya taifa na pia uchezaji wao na uwajibikaji.tunapaswa kuzidi kuwapa sapoti kubwa kwani kutoa sapoti kwenye klabu kama simba na yanga ni kubwa basi, na sisi tuanze kunufaika kutoa sapoti kwa timu ya mpira kwani haileti maana yani taifa letu...
  15. Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

    Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na: 1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja. 2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
  16. Bodi ya Ligi yatoa adhabu kwa Yanga, Polisi Tanzania, imani za kishirikina zatawala

  17. SoC02 Nilichojifunza kuhusu U-Simba na U-Yanga ndani ya ligi yetu

    Yanga (Young Africans Sport Club), ni klabu moja wapo ya mpira wa Tanzania iliyoanzishwa 1935 ambapo makao makuu yakiwa Jangwani Kariakoo, Dar es Salaam. Ikiongonzwa na Rais Engineer Hersi Ally Said .Wakiwa mabingwa wa kihistoria mara ishirini na nane 28. Simba (Simba Sports Club), ni klabu...
  18. Mechi za Ligi ya Ukraine kuendelea bila mashabiki viwanjani

    Msimu mpya wa soka Ligi Kuu ya Ukraine umezinduliwa wiki hii licha ya uwepo wa vita dhidi ya Urusi, ikielewa kuwa mechi zitaendelea bila uwepo wa mashabiki kutokana na sababu za kiusalama. Maamuzi ya kuruhusu ligi kuanza yalitolewa na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky akiwa na lengo la...
  19. Uzi maalumu kuweka matokeo na msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara

    Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda. Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi. Karibu tupeane taarifa.
  20. Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

    Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…