Nchi yetu imejaliwa kuwa na mikoa takribani 30 kwa sasa, na mfumo wa michezo inayosimamiwa na TFF unahusisha mikoa yote ya Tanzania bara, hata hivyo kuna mikoa ambayo huwezi kusikia ina timu inayoshiriki ligi kuu miaka yote.
Ukiacha Dar es Salaam, na timu za taasisi mikoa mingine imekua...