Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL.
Naomba kuwasilisha.