Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.
Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam.
Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni dhaifu ama imara.
Wachambuzi kama Ramadhani mbwaduke huleta ladha ya uchambuzi Kwa kuwa hutumia...
Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe...
Yaani ipo hivi kwanini serikali isitumie ligi yetu ya mpira kutajirisha watanzania kwamba siku zicheze simba na yanga halafu zote zifungwe Kila mtu abeti mpunga wa kutosha hamuoni kama hapo tutakua tumepata utajiri watanzania yaani Kila mwaka mechi za mchongo ziwe 2 Kwa Kila timu unajua fikilia...
Nikiangalia taarifa za usajili wa timu mbalimbali naona wachezaji watatu wa Simba wa msimu uliopita wamesajiliwa ligi ya Algeria, ligi ya 3 kwa ubora Africa, wawili kati yao katika timu yenye mafanikio zaidi nchini humo na mmoja kwa Mabingwa wa CAFCC 2022-23.
Mwingine mmoja kauzwa Morocco...
Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF.
Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua...
Aziz Ki aliposajiliwa Yanga alikuwa akifanya mambo ya hovyo kabisa uwanjani hadi wachambuzi wakawa wanaeleza hasara za kiuhasibu kwa kumsajili kiungo huyo hatari kwa sasa hapa nchini, wengi walimdharau na kumponda kuwa hana uwezo na auzwe, Aziz Ki alikuwa anahitaji kuzoea mazingira ya soka na...
Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ya JKU inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.
Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.
Timu ya JKU imeanza kinyonge Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza wa nyumbani dhidi ya...
I couldn't watch the match between Singida Big Stars and Ken Gold due to the surroundings of the pitch. The environment is so bad that it's unwatchable.
What does TFF do with the money they earn?
kiwanja mama wanatembea wanauza maparachichi 🚮.
Wakuu habari,
Jana nimeangalia mtanange kati ya Pamba jiji na Prison Fc.
Nilichokiona
Beki wanajiamini sana kuliko hata Job au Mwamnyeto, wakiwa na mpira hawapigi hovyo hovyo na wwnajua kukaba
Golikipa Amos Yona yupo njema anaokoa mpaka mashambulizi ya counter attack
Winga zipo safi na...
Ndugu wanamichezo wote!
Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza.
Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima!
Mechi ya Leo 16.08.2024
Pamba 0- 0 Prison
RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round.
Ligi ina jumla...
Agosti 16, 2024
Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni
Agosti 17, 2024
Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni
Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku
Agosti 18, 2024
Kengold FC vs Singida BS 8:00 Mchana
Simba vs Tabora United 11:15 Jioni
Wadhamini wa legi na timu zote kwenye ligi wananufaika kupitia Simba na Yanga. Mapato ya viwanjani ya timu zote yanapatikana wanapocheza na Simba na Yanga. Washabiki wananunua visimbuzi na vifurushi ili kuona mechi za Simba na Yanga zinapocheza na timu nyingine au zinapokutana wenyewe.
TFF...
Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena .
Namna ya kujiunga
Code to join this league: gxdwy2
Au
https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/gxdwy2
Currently just for Fun tuendelee kusubiri kama msimu huu JamiiForums itaona...
Wadau hamjamboni nyote?
Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora
Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha yanga akaevwiki 2 ndiyo acheze? Hii imekaaje?
Ratiba hiyo hapo
Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu.
We hadi leo jamaa hawana ratiba inayoeleweka ya Ligi Kuu, ujanja ujanja mwingi. Nimesikitika sana eti kuanzia...
Nampenda sana Fei Toto kwakuwa ni mzawa na mtanzania mwenzetu, lakini ni kweli kwamba Aziz Ki ni bora sana kuliko Fei Toto tena kwa mbali sana, lakini na Diara ni bora sana kuliko Matapi. Mfano, hebu waweke sokoni Aziz Ki na Fei Toto wewe utamchukua yupi kati ya hao wiwili. Na ukiwaweka sokoni...
Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini.
Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi)
Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.