ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?

    NB: pesa hizi hazihusiani na ubingwa, kila team inapewa Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu? Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
  2. Mkalukungone mwamba

    Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu

    Aziz Ki amevunja rekodi ya ufungaji bora misimu mitatu iliyopita afikisha magoli 21 na kuibuka top score wa msimu. --- Kiungo Stephan Aziz Ki amemaliza kinara wa ufungaji kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kumaliza msimu akiwa na mabao 21 na kumuacha mpinzani wake wa karibu kiungo...
  3. Mkalukungone mwamba

    Leo rasmi ligi kuu ya NBCPL inamalizika, mechi ipi utaitazama zaidi?

    Ligi kuu ya NBCPL leo rasmi inatamatika kwa kucheza michezo nane na hadi sasa Bingwa ni Yanga lakini tutashuhudia vita vikali vya kumaliza nafasi ya pili ambapo hapa ni Simba sc na Azam fc ambao ndiyo wanao wanao wania nafasi hiyo lakini vita nyingine ni ya mfungaji bora kati ya Aziz Ki wa...
  4. D

    Bodi ya ligi inawaza uchawi haina hata viwanja 10 vya mpira. Ina weakness nyingi. Mwenyekiti anawaza uchawi

    tanzania ina watu wa ajabu sana . Yani ana matatizo kibao anawaza uchawi . List ya matatizo bodi ya ligi 1. Viwanja 2. Majukwaa 3. Wafadhili 4. 4k or hd coverage 5. App 6. Media coverage ya team zote 7. Match fixing 8.referees 9. Utilities. 10. Technology (var ) 11. Laws on foreign players...
  5. Mkalukungone mwamba

    Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
  6. D

    Bodi ya ligi ifanye reform next season kila team kuwa media team kutoa content

    We miss out alot of contents from other lower teams. my thoughts is less information is shared about these teams leading to fewer fans, and unknown good players. My advice to Tanzania league board is to make mandatory, to have a media team which functions and give out daily content, ie...
  7. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya Ligi inavunja kanuni za mpira ili kuilinda Simba sc dhidi ya KMC

    Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo" lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC ilipewa taarifa kuwa Mchezo wao dhidi ya Simba sc utachezwa kwenye uwanja wa Generali Isamuyo na cha...
  8. MwananchiOG

    Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Bara Young Africans sc watinga bungeni

    Mabingwa wa kihistoria wa Ligi kuu bara club ya Young Africans, wamepata mwaliko maalum kutoka kwa Waziri wa Utamaduni sanaa na michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Bungeni Jijini Dodoma tarehe 23, 2024 ambapo aliwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa fedha 2024/25...
  9. OMOYOGWANE

    Ili kuchochea uboreshaji wa viwanja LIGI KUU wadau mbali mbali wa soka waandae maandamano ya "viti" na "magunia" kwenye kila mechi.

    Habari wakuu, Mpira wetu umepiga hatua mbili mbele, ila viwanja vyetu vimepiga hatua mbili nyuma. Leo hii Feitoto anachuana na Aziz ki kuchukua kiatu cha mfungaji bora, kipa Rey Matampi anapambana na Diara kuwania tuzo ya golikipa bora, wakati huo Simba akipambana na Azam kupigania nafasi ya...
  10. uhurumoja

    Huenda Karia kaamua kuiabisha ligi yetu

    Ndugu zangu wanayanga na watz wengine wenye mapenzi mema na mpira wa nchi yetu Wote Leo tumeshuhudia mechi ya nusu final Crdb ukienda live hewani kutokea pale Geneva ya afrika (Arusha) Ndugu zangu ule uwanja ulikuwa ni tusi aibu na fedheha kwa soka la nchi yetu Siwezi andika mengi lakini ule...
  11. G

    Pep Guardiola kaigeuza ligi kuu ya uingereza kuwa farmer's league?

    MARA NNE MFULULIZO, MARA SITA KWA MIAKA SABA 2018: Manchester City 🏆 2019: Manchester City 🏆 2020: Liverpool 🏆 2021: Manchester City 🏆 2022: Manchester City 🏆 2023: Manchester City 🏆 2024: Manchester City 🏆 Akiwa Barcelona alishinda La Liga mara 3 mfululizo kukawa na kelele za waingereza...
  12. BARD AI

    Vilabu vya Ligi Kuu Uingereza kupiga Kura ya kufuta matumizi ya VAR

    Klabu zinazoshiriki Ligi Kuu zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya 'VAR' kuanzia Msimu ujao Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024...
  13. Pdidy

    Hii bodi ya TFF nashauri ijiuzulu baada ya ligi imetuchosha

    Baada ya yanga kuchjkua ubingwa. Wa nbc Nashauri hii bodi ichukue mda kujitafakari ijiuzulu tu Wasione aibu kwa yale yalioendelea kwenye hii ligi huu mwaka n kichefuchefu Pia mabosi wa waamuzi wote washauriwe kujiuzulu. Tumechoka sana yaan marefa wanaingia na matokeo uwanjani na kukataa...
  14. D

    Goli la kwanza la Simba na kagera ni offside . Rushwa sijui zitaisha lini ?! Majina ya bodi ya Ligi tuwajue . Utakuta la 7 .

    Simba kila mechi kuna Refa Ana wabeba . It’s not healthy kwa Ligi yetu . TFF na bodi ya Ligi wote kimya . That free kick was typical off side , the whole match Refa yupo upande mmoja . Watu wa bodi ya Ligi watoe nyeti na cv zao . Na wasi wasi na Elimu zao . Kuna vilaza mule na La Saba ...
  15. G

    Kilichobaki Yanga ni kuhamishia nguvu zote FA, Kina Skudu, Fredy, Mkude wamalizie mechi za ligi kuu na Aziz Ki asaidiwe kudunga abebe kiatu

    Yanga wanahitaji point 1 tu kuwa mabingwa, hawana haja ya kukamia wala presha, Kesho kuna uwezekano mkubwa wakatangazwa mabingwa. Nguvu zote zihamishiwe F,A. ikibidi kina Max, Aucho, Diarra, Yao, n.k. wawahi Arusha kujiandaa na nusu fainali ya FA dhidi ya Ihefu Kwa sasa kuhusu ligi kuu yafaa...
  16. uhurumoja

    Ligi ya Kenya naona kama imeshuka sana

    Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani Ila kitu nawapongeza naona Wana viwanja vizuri kuzidi NBC Tff na bodi ya ligi wazuie kabisa baadhi...
  17. Mkalukungone mwamba

    Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi

    Ikitokea mfungaji bora wamefungana magoli ligi kuu kanuni yake ipo hivi..
  18. S

    Kanuni zitaamua Mchezaji bora (MVP) Ligi kuu

    Kinavyosema kipengele namba 13 cha kanuni namba 11 ya Ligi Kuu toleo la mwaka 2023 kuhusu tuzo ya mfungaji bora kwenye NBC Premier League. Kwa jinsi mambo yanavyokwenda, unaiona ikienda kwa nani msimu huu? Imeandaliwa na Anoth Paul, mhariri ni Amosi Masoko
  19. D

    Bodi ya ligi na TFF hawa wazee wote waondoke. But nani wa kuwatoa?

    I will be short These are the most useless individual in our football. i believe we could have been better than what we are today. 1. Ligi yetu ina panga matokeo kama ligi ya Kenya. Shame shame. Why only 3 teams. Why not favor all teams. Small teams more. 2. Time table aipo equal in all...
  20. Half american

    Timu zilizopanda daraja kushiriki ligi kuu mbalimbali duniani kwenye ulimwengu wa soka.

    Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa misimu ya ligi mbalimbali za mpira wa miguu duniani, huu ni uzi maalum wa kuhabarishana, kuzitambua, kutoa pongezi na kuzikaribisha timu zilizofanikiwa kupanda daraja kucheza ligi kuu mbalimbali duniani kwa msimu ujao wa 2024/2025. √ TANZANIA-NBC PREMIER LEAGUE...
Back
Top Bottom