ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL

    Mechi 8 za Simba sc za kufa na kupona ligi kuu NBCPL
  2. Kuelekea Afcon 2027: Arusha ipo haja ya kuwa na timu Ligi Kuu

    Wakati serikali ikiendelea na ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwa ajili ya Afcon 2027, Sio vibaya Arusha iwe na timu ligi kuu kwa lengo la kuufanya mji uwe busy na pilika za kimichezo. Hata kama mpaka kufikia muda huo hili litashindikana basi TFF waangalie namna ya kupanga mechi...
  3. Majaliwa Stadium uwe reference kwa viwanja vingine Ligi Kuu

    Ukiacha viwanja vikubwa vinavyojulikana kama Mkapa Stadium na Azam Complex, Kwakweli huu uwanja wa Majaliwa licha ya kuwa mkoani lakini una muonekano mzuri sana na standard hususan kwa vilabu vidogo vya mikoani zinazoshiriki ligi kuu.Ni aibu kwa baadhi ya timu tena kongwe kama JKT kutumia uwanja...
  4. Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania

    Imekuwa kama dharau kwa mzawa kocha Juma Mgunda kila timu inapopoteana (mwendelezo mbovu) na makocha wa kigeni kutimuliwa timu ya Simba sc huwa inamkubuka Juma Mgunda na kumpa timu tena. Nani asiyejua uwezo wa Juma Mgunda katika ligi hii? Juma Mgunda siyo wakufanya kibarua cha saidia fundi ila...
  5. Msimamo Ligi Kuu NBC (UPDATE)- Timu Yako Ipo Nafasi Ya Ngapi?

    Match day 24. Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024 Vinara wa magoli. 1. Ki Azizi - 15 2. Fei Toto - 14 3. Shentembo - 11
  6. TFF na Bodi ya ligi inapaswa kubadili sheria ya timu ya ligi kuu kucheza play off na timu ya championship

    Kwanza nichukue fusa hii nikiwa mdau wa ball kupitia jukwaa hili la michezo la Jamiiforums kuzipongeza timu kutoka championship na kupanda ligi kuu. KENGOLD FC NA PAMBA FC, Hakika timu hizi zinastahili pongezi maana siyo kazi nyepesi kutoka championship mpaka kupanda ligi kuu. Na pia nichukue...
  7. G

    Kengold na Pamba zimepanda ligi kuu, Mbeya kwanza na Biashara kucheza playoff na vibonde wa ligi kuu

    Kengold kutoka Mbeya imetwaa Ubingwa wa Championship Hatimaye baada ya miaka 23 timu ya Pamba Jiji FC ya Mwanza imefanikiwa kupanda ligi kuu Bishara United Mara na Mbeya Kwanza watasubiri Playoff Kujaribu bahati yao KenGold FC Pamba FC Mbeya Kwanza FC Biashara United FC TMA FC Mbeya City FC...
  8. TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    kila siku tunaimba kuwa ligi yetu imepanda kwa ubora na inasemekana kuwa ipo nafasi ya tano kwa ubora Africa, nimeshangazwa sana toka jana baada ya mchezo wa jkt Tanzania vs Yanga sc kuahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji JKT Tanzania walindelea kutaka mchezo wao uchezwe palepale kwenye...
  9. Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki wa hizo timu ambae ni mmoja wa baraza la wadhamini wa Yanga. Wengi wasichokijua nyuma ya pazia...
  10. Kama Ligi ndio ingekuwa inaanza sasa basi Simba ingeshuka daraja

    Mwenendo wa Timu hii kwa sasa hauridhishi , na kwa kweli ni kama wameamua kwa makusudi kutudhalilisha sisi mashabiki na wanachama wake . Kila tunapopita tunachekwa na kunyooshewa vidole , huko maofisini hali ni mbaya zaidi , kuna wakati matokeo ya timu yetu yanasababisha baadhi wasiende...
  11. Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

    Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari. Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
  12. J

    Skudu Makudubela: Aziz Ki amekataa ofa ya kujiunga na Mamelodi, alisema ligi ya South Africa imeshuka ubora

    Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka ubora, japo hakuelezea kwa kirefu Looks like Stephane Aziz Ki could reject PSL clubs amid reported...
  13. Enyi wanawake acheni ligi na wanaume mtaumia

    Nipo zangu eneo langu la biashara... Ni kasoko flani hivi kalikochangamka kwahiyo nikaona niwe na kastationary pale kakuzugia, mambo yote ya photocopy, printing, scanning, binding na kuchapa chapa material nini unapata na huduma ya passport size zile za fasta dakika 3 pia zipo fresh tu. Mwezi...
  14. Ligi ya Mabasi ya NewForce na Sauli hatari, kila mmoja anataka kukaa mbele kivyovyote

    Wale wanazi wa ligi ya mabasi haya mnaona mambo, japo ni hatari lakini inaleta burudani.
  15. Je, unadhani kwanini jana Mamelodi Sundowns FC katika Mechi yao ya Ligi Kuu wamechezesha Wacheaji Chaguo la Pili tu?

    Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0. Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na...
  16. Hizi ligi za mabasi zisipodhibitiwa zitaendelea kuua ndugu zetu

    Hivi huwa najiuliza mkuu wa latra huwa anapataje usingizi ikiwa kila kukicha ajali za mabasi ya abiria zinazidi kuongezeka? Ameshindwa kutafuta suluhisho kweli? Mabasi yote yafungwe camera ambazo zitakuwa zinafatilia mienendo yote ya madereva waoshindana uku wakiwa wamebeba roho za watu...
  17. Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kupongeza

    Tumesikia mipango ipo mbioni kuijumuisha timu ya Al Hilal ya Sudan katika ratiba ya NBC kuanzia msimu ujao. Kuna wakati niliwahi kuwaza hili jambo nilipoona wakati ule wanatanga tanga, nikataka kushauri hili kufanyika na nimefurahi kujua kumbe pale TFF kuna watu wana uwezo wa kufikiria mambo...
  18. Simba wana nafasi ya kuwa Bingwa Ligi Kuu

    Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa. Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
  19. D

    Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS Sababu ni hizi 1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no tactics kabisa, nothing new. off position play kwa players is what he knows. useless manager to be...
  20. Hongera Azam kwa ushindi mwepesi 2-1, mmefanya ligi ianze kuchangamka upyaa!!

    Kipekee niwapongeze Azam fc, mlidhamiria hatimaye mmepata cha kusema, kumfunga bingwa si haba... Feisal Salum hatimaye umepooza maumivu, hongera pia! Mwisho kabisa niwaonye Makolo, kihere here chenu kitawaponza. Jiandaeni kwa tano zingine...!! Shuhuli sio yenu, mnatembea na ndizi, shen...zzyy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…