limao

  1. J

    Msaada: Soko la limao

    Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
  2. Bridger

    SI KWELI Ulaji wa Limao na Ndimu husababisha upungufu wa Damu Mwilini

    Baadhi ya jamii huamini kuwa ulaji wa limao na ndimu husababisha upungufu wa damu mwilini. Uvumi huu uliosambaa kwenye maeneo mengi hutoa maonyo makali hasa kwa watoto na wanawake wenye ujauzito wanaojaribu kutumia matunda haya. Je, ni kweli kuwa matunda haya hukausha damu mwilini?
  3. Sildenafil Citrate

    Limao (ndimu) husaidia mwili kutengeneza damu

    Kwa mujibu wa USDA, limao (ndimu) huwa na mjumuiko wa nishati, protini, wanga, nyuzilishe, madini ya calcium, magnesium, phosphorus, potassium, sodium, zinc, copper, selenium na kiasi kidogo cha sukari. Aidha, huwa na vitamini C, citric acid, vitamini B12, folate pamoja na viondoa sumu vya...
  4. Superbug

    Maisha Yana maajabu Sana limao Lina pesa kuliko chungwa.

    Bei ya limao moja kwasasa ni tsh 500 wakati chungwa moja ni tsh 100. Inamaana limao moja ni machungwa matano TAFAKARI.
  5. M

    Kinywaji cha CocaCola na Limao zawa mbadala wa Condom ili kuzuia Mabinti Kushika Mimba

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoonyesha kuwa huenda mwisho wa dunia unakaribia Mabinti wengi nchini Kenya wanatumia Kinywaji cha Coca Cola na Limao kuzuia Mimba pindi tu wamalizapo kufanya Ngono ( Kuzini ) " Tukimaliza tu kufanya Ngono haraka sana huwa tunawahi Bafuni na kujimwagia...
  6. J

    Faida ya maji ya madafu yakichanganywa na ndimu au limao

    Siku za hivi karibuni watu wamekuwa wakitumia maji ya madafu na kuchanganya na ndimu au limao, huku wengine wakijiuliza ikiwa mchanganyiko huo hauna madhara yoyote kiafya. Tafiti zinaeleza kuwa maji ya madafu yana faida kede kede mwilini, lakini lamao linaweza kuongeza ladha na lina vitamin C...
Back
Top Bottom