Kwa mujibu wa USDA, limao (ndimu) huwa na mjumuiko wa nishati, protini, wanga, nyuzilishe, madini ya calcium, magnesium, phosphorus, potassium, sodium, zinc, copper, selenium na kiasi kidogo cha sukari.
Aidha, huwa na vitamini C, citric acid, vitamini B12, folate pamoja na viondoa sumu vya...