Ukiondoa kutumia muda mwingi kufafanua no reform no election Lissu ameitisha nini serekali ya ccm iliopo madarakani?
Ipi amsha amsha ambayo Lissu kaifanya na kuifanya ccm kupata wakati mgumu?
Ipi tofauti ya Mbowe na uongozi wa lissu ktk amsha amsha kwa ccm?
Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani.
Leo hii CCM katika kikao chao pia...
Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano.
Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻
".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017.
Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent...
Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election".
Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia.
Kwa...
Kwa kweli Mwalimu JK Nyerere alifanya mambo makubwa kwa taifa hili na bara la Afrika na duniani na pengine wengi wetu tumefikia mafanikio tuliyoyapata kielimu, kazi na hata afya kwa sababu ya sera zake za kujali wanyonge na kuiishi falsafa ya binaadamu wote ni sawa kwa vitendo.
Mtu kwenda...
Akiwa Mgeni wa Heshima katika sherehe za Bawacha jana, Lissu hakuweza kujizuia kumtaja Aida. Alirudia tena madai yake kuwa Aida alipewa ubunge na CCM. Huo ni upotoshaji mkubwa kwa sababu una maanisha kuwa Aida hakushinda uchaguzi bali CCM walifanya figisu figisu na kumpa kura za ushindi...
Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha.
Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji.
Najua mnajua namna gani nchi hii...
chura kiziwi
duniani
kiziwi
lissu
mapokezi
mlimani
mlimani city
rais
samia
sherehe
siku
siku ya wanawake
siku ya wanawake duniani
tundu
tundu lissu
wanawake
Kuna watu ambao kwa bahati mbaya wengine ni wanachama waandamizi wa CHADEMA, wanabeza msimamo wa Lissu wa kusimamia maamuzi ya vikao vya chama kuwa "No reforms No election" kuwa ni jambo lisilowezekana.
Lakini Klabu ya Simba kwa kusimamia Kanuni za ligi ya Tanganyika, imefanikiwa kugomea mchezo...
Mwanasiasa msanii sana huyu, wakati wa bunge la katiba alimkashifu sana Baba wa Taifa, aliwaudhi watu wengi sana kwa kauli zake dhidi ya Mwalimu Nyerere.
Alivyo mnafiki ameonekana kule uganda akitoa mhadhara na akamwelezea vizuri kabisa Mwalimu Nyerere.
Ukiwa mnafiki utotoni ukifikia uzeeni...
Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema.
Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija.
Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson...
Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda.
Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere.
Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo...
Suala hili limekua likikejeliwa na ccm bila kuja na hoja zenye mashiko.
Hoja zangu ni hizi:-
1. Kwa upande wangu mimi, nikiangalia kwa upande wa vyama vya upinzani nabaini kwamba ni kichaa peke yake ndio anaweza kushiriki uchaguzi wa October, 2025 akiwa anajua kwamba asilimia 85 ya wagombea...
Mh. Tundu Lissu amealikwa Chuo Kikuu cha Makerere kutoa mhadhara wa umma juu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na ushawishi wake katika siasa na katiba za Afrika Mashariki.
Tega sikio
"Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza.
Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo.
Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.