Kisheria kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi ni kuwa Jaji kupitia Mahakama ana namna mbili za kuwahukumu endapo hawatofika Mahakamani.
1- Mahakama inaweza kutoa hati za kuwakamata ingawa inategemea na mazingira ya shauri na Mamlaka ya Mahakama ama sababu walizotoa hazina mashiko.
2- Adhabu...