Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kisheria kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi ni kuwa Jaji kupitia Mahakama ana namna mbili za kuwahukumu endapo hawatofika Mahakamani.
1- Mahakama inaweza kutoa hati za kuwakamata ingawa inategemea na mazingira ya shauri na Mamlaka ya Mahakama ama sababu walizotoa hazina mashiko.
2- Adhabu inayoweza kuwakuta mfano ikatokea Mahakama ikajiridhisha hawana sababu ya msingi basi ni kuwatoza faini isiyozidi shilling MIA TANO za Kitanzania na kama hawana basi Mahakama itashikilia na kuuza mali zake.
Ikatokea mali hizo hawana basi wanaweza kufungwa kwa siku zisizozidi 15 na ili yote hayo yatokee ni lazima Mahakama ijiridhishe hawana sababu za msingi ndio sheria itafuata.
Chanzo: Gazeti la Mwananchi