Wakuu,
Ni bandika bandua, huku Askofu Bagonza kule Sheikh Ponda, yaani kuna watu huko vichwa vinawaka moto :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
====
Sheikh Ponda ameandika haya kupitia ukurasa wake wa X;
"VIONGOZI WA DINI tumestushwa na hatua ya serikali kumpa kesi ya uhaini kiongozi mkuu...