Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Wakuu,
Ni bandika bandua, huku Askofu Bagonza kule Sheikh Ponda, yaani kuna watu huko vichwa vinawaka moto

====
Sheikh Ponda ameandika haya kupitia ukurasa wake wa X;
"VIONGOZI WA DINI tumestushwa na hatua ya serikali kumpa kesi ya uhaini kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani Tundu Lisu.
"Aidha kwa kua Rais aliagiza vyombo vya usalama visimkamate mtu ila baada ya kukamilisha upelekezi, WITO WETU shauri lianze na kukamilika kabla ya Oktoba 2025."
Soma Pia:
Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Adhabu ya uhaini Tanzania siyo lazima kifo