Suala la afya ya Mohamed Salah limesababisha mvutano baina ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) dhidi ya Klabu ya mchezaji huyo, Liverpool ambapo kila upande unavuta upande wake ukiona una haki ya kumtumia na kujua maendeleo ya majeraha yake.
Liverpool imedai afya ya mchezaji haijakaa sawa tangu...
Fainali ya Carabao Cup inaendelea kwenye Uwanja wa Wembley Jijini London.
Dakika 90 zimekamilika matokeo bado ni 0-0, zimeongezwa dakika 30.
Michezo michezo 8 iliyopita baina ya timu hizi, Liverpool imeshinda mara moja na sare zilikuwa nane.
Ushindani ni mkali, timu zote zinashambuliana kwa...
Phil Chisnall anabakia katika vitabu vya kumbukumbu kama mchezaji wa mwisho kuhama direct toka Man Utd kwenda Liverpool baada ya hapo haijawahi kutokea tena. Alifanya uhamisho huo mwaka 1964.
Man Utd & Liverpool ni wapinzani kweli katika mpira na uhasama wao ulifanya mechi zao ziwe zinachezwa...
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametangaza kuachana na timu hiyo mara baada ya msimu huu kwa kile alichosema kwamba ‘amechoka’.
Klopp alijiunga na Liverpool Oktoba akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani na mkataba wake wa sasa na timu hiyo unafikia mwisho mwaka 2026 lakini ameamua kuachana na...
Uongozi wa Timu ya Taifa ya Misri umethibitisha kuwa mshambuliaji wao Mohamed Salah (31) amerejea katika klabu yake kupatiwa matibabu zaidi baada ya kuumia misuli ya paja katika mchezo dhidi ya Ghana kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Salah au Mo Salah ataukosa mchezo wa leo Januari 22...
Mzuka wanajamvi.
Vita inayoendelea sasa hivi Gaza kati ya Israeli na Hamas itaikosesha ubingwa wa ligi kuu ya uingereza mpira liverpool.
Liverpool ambayo imeishinda usiku huu Newcastle United kwa magoli 4-2 nakuongoza kwa point 3 mbele ya Aston villa ambayo ni ya pili inahofia sana hii vita ya...
Liverpool ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Anfield imelazimishwa matokeo ya 0-0 dhidi ya Manchester United katika mchezo wa Premier League ambapo Liverpool ilipewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na kuonesha ubora katika michezo ya hivi karibuni tofauti na wapinzani wao.
Matokeo hayo...
Jumapili ya Desemba 17, 2023, Saa 1:30 Usiku, Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anatarajiwa kuwa na mtihani mgumu wa kuivaa Liverpool katika mchezo wa Premier League kwenye Uwanja wa Anfield, huku akiwa na orodha ndefu ya wachezaji wa kikosi cha kwanza anaotarajiwa kuwakosa.
Marcus...
ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad, leo Novemba 25, 2023
Erling Haaland amecheka na nyavu upande wa City dakika ya 27 huku...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m
Owner: The consortium of Todd Boehly, Clearlake Capital Group, Hansjörg...
Shabiki wa Liverpool amelalamika mtandaoni kwa kitendo cha kuondolewa uwanjani kwa sababu ya kuvaa koti Lenye ujumbe wa "Free Palestine".
Shabiki huyo aliondolewa uwanjani na vyombo vya usalama vilishinikiza avue koti hilo na kutupa bendera ya Palestina kabla ya kuruhusiwa kurudi uwanjani...
Tumeona wachezaji kadhaa waliojitokeza kulaani mauaji ya Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza wakitishiwa kufukuzwa kwenye klabu zao na kusimamishwa, haswa Ujerumani ambapo zaidi ya wachezaji watatu wameshasimaishwa.
Mchezaji mahiri na mashuhuri Duniani anaechezea Liverpool amejitokeza rasmi...
Niliwapa man city kutetea na Arsenal kuwa challenger mzuri msim Huu 2023/2024,lakin KWA usajili wa moises caicedo KWA pound million 106 kwenda liverpool,sasa majogoo wa jiji liverpool ni team ya kuogopwa na vigogo wote pale epl!
Midfield ya caicedo,macalister na Dominic szoboslai ni combination...
INTRODUCTION
Dah, mwaka huu nimechelewa kuingia Nanenane Mbeya. Badala ya kuingia tarehe 30/07 ""as usual"" ila mwaka huu nimeingia juzi tarehe 02/08/2023.
Ila haina mbaya, Kazi iendelee.
BODY
Karibu kwenye Banda letu nikupe pindi/Shule kuhusu mambo ya biashara, Uwekezaji, kilimo, na viwanda...
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji...
Leo mke wa balozi wa nyumba kumi wa mtaa wa CHIMBA UNYE kapata umbea wa mkazi mmoja mgeni aliyekuja kuwatembelea nyumbani kwao.
Pamoja na udhaifu wa mgeni hasa katika kuficha siri zake, mwenyeji wake (balozi) amemuadithia mke wake mambo yote aliyomfanyia na kuambiwa kwa siku SABA na mgeni...
Raia huyo wa Brazil anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu baada ya mkataba wake kumalizika.
Firmino (31) amekuwa klabuni hapo tangu Mwaka 2015 amecheza mechi 353, akifunga magoli 107 na asisti 70. Msimu huu umekuwa mgumu kwake kutokana na kuandamwa na majeraha huku kukiwa na ushindani...