Mzuqa wanajamvi,
Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30.
Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa...
Ni jambo la kushangaza kidogo, unaweza kujiuliza alitoa wapi ujasiri na maono hayo?
Kabla ya kuanza msimu wa Ligi Kuu Uingereza wa 2019/2020 meneja au kocha mkuu wa Liverpool FC akiwa katika ziara ya maandalizi msimu mpya (pre-season preparation tour) nchini Marekani katika jiji la New York...
Mzuqa wanajamvi!
Kuna wasiwasi wa Liver kutokutwaa ubingwa wa EPL kutokana na homa ya mafua Coronavirus kuingia Uingereza na kuthibitika leo watu wanne wanayo huko Scotland baada ya kutoka nayo China.
Huu ungonjwa unasambaa kwa kasi ya ajabu na kwa muda wa miezi miwili tu itaambukiza mamilioni...
Jumapili wenzie wote waliocheza Manchester United, Burnley, Leicester City wanacheza kesho ila yeye kapumzishwa mpaka keshokutwa wakati bado ana mechi nyingi ajacheza kama wenzie.
Shirika la Anga za juu la Marekani NASA limeweza kuona na kubaini jiwe kubwa asteroid lenye ukubwa kama nch yetu linakuja kwa kasi kuelekea sayari yetu. Kuna uwezekano likagonga dunia yetu na kuleta mtetemeko wa hatarii na kuingilia na kuaribu mipangilio ya kila siku ya maisha ya mwanadamu...
Ndani ya misimu minne ntashinda taji moja. Ndivyo Klopp alivowaambia waandishi wa habari misimu mitatu na nusu iliyopita. Jamier Ghalagher alimuonya Klopp kuwa siyo rahisi kihivyo na ni kosa kubwa sana kuahidi taji ndani ya misimu minne.
Alianza na mfumo wake wa gegen pressing kwa wachezaji...
Habari wana jamvi,
Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji.
Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
Baada ya Sadio Mane kuporwa goli lake na VAR, eti paja sijui kwapa lake limezidi last defense line humu jukwaani na JF na mitandao mingine imekuwa kimya kabisa.
Mara ya pili hii VAR inasema mchezaji wa Liverpool FC amezidi mstari (ameotea).
Timu yao pendwa imetoka sare na kitimu kidogo. Jamaa...
Kama tunavojua kwa misimu yote ya nyuma, LFC hawana pumzi ya mbio za marathon, wataishia njiani! Majeruhi kwa Mo Salah, Mane na Firmino ubingwa kwaheri!
Habari wadau wa michezo?
Mashabiki wa damu wa Liverpool wana hasira sana na Aguero sababu ya unyama anao watendea mara kwa mara wakati timu yao LFC inapokutana uwanjani na Manchester City FC.
Sasa katika kupoza machungu na kushangilia hasimu wao kupoteza pointi 2 jana tarehe 17/08/2019 Man City...
Ubingwa wa EPL 2018/2019 unawakataa Manchester city 'The Cityzens'
Hivi sasa tunapoongea wachezaji wanne muhimu ikiwamo na mabeki wa kati muhimu wote wapo majeruhi na viungo wawili muhimu mno pia majeruhi
Kelvin De Bruyne, Fernandinho, Aymeric Laporte na John Stones ni majeruhi hivi...
Bill Shankly
KILA mtu aliamini hatuendi popote, wengi walitarajia kuona tunashindwa kufuzu hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2004/05.
Njia yetu ilikua ni ngumu, kundi letu lilishageuka shubiri kwetu, hatukua na matumaini tena.
Tulikua tupo na Monaco, Olyimpiacos na...
Sadio Mane (Liverpool star) said that his parents have been telling him pursuit football career was a waste of time, right up until he signed his first contract in 2011 with Metz, before moving to Red Bull Salzburg and Southampton prior to his Liverpool switch.
Mane, 26yrs old, has developed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.