liverpool

  1. Utabiri wangu: Fainali ya UEFA champions league ni Kati ya Liverpool vs Ajax Amsterdam

    Habari wakuu.. Kwa mwenendo huu wa Champions league Fainali ni baina ya Liverpool na Ajax .
  2. C

    Ac Milan, Liverpool and Napoli are the only teams in Europe that are still unbeaten till now and how AFCON will destruct them?

    AC Milan, Liverpool & Napoli are The Three of The Four Clubs in Europe's Top Five Leagues to Remain UNBEATEN in Their Respective League So Far. 😎🔥 But Things Don't Look Good for Them in the early 2022.. The Africa Cup of Nations will be Played from 9th January to 6th February 2022.. And the...
  3. Wanafunzi wachoma bweni la shule kisa mechi ya Man United Vs Liverpool

    Wavulana wanne wa shule nchini Kenya wanashikiliwa katika mahabusu ya polisi kwa kulichoma moto bweni la shule yao, baada ya kuripotiwa kunyimwa ruhusu ya kutazama mechi kati ya Liverpool na Manchester United, umeripoti wavuti wa Daily Nation nchini humo. Lilimnukuu mkuu wa polisi wa eneo...
  4. Jibu langu kwa Liverpool VPN na wenye shaka sa ndoa

    Liverpool VPN ameanzisha uzi huu Sasa mnaoa ili iwaje? Hebu angalia hii familia kimsingi ameonyesha kwamba kwa kuwatazama wenza aliowaelezea hakuna haja ya ndoa. Anashare msimamo na watu wanaojitambulisha kama MGTOW (Men Going Their Own Way) kabla sijafika mbali nauliza hili swali "Mapenzi ni...
  5. Kwa jina la Liverpool na maajabu ya Instanbul Chelsea bingwa wa UEFA 2020-2021

    Chelsea mpoo? Fainali itapigwa jiji linaloitwa Istanbul, nchini Uturuki. Kule kwa Sultan Suleiman Khan na Shghazad Mustapha. Yes! Huko huko kwao Ertugru. Mkifika pale wanaifahamu timu moja ya England inaitwa Liverpool. Ukisema tu 'The mighty Reds' wanaacha kila kitu na kukusikiliza chochote...
  6. Ozan Kabak kuondoka Liverpool

    Liverpool imefikia muafaka wa kutokumsajili Ozan Kabak aliepo kwa mkopo kutoka Schalke 04. Beki huyo alisajiliwa kwa mkopo kipindi Liverpool ilipokua na majeruhi wa takriban beki zake zote za kati. Schakle 04 inampango wa kumuuza tena kwenye vilabu vya Ujerumani au Uingereza. Liverpool imuamua...
  7. EPL: Everton yaifunga Liverpool Anfield baada ya miaka 21

    Merseyside Derby imemaliza huku ikibadili history ya Everton ya kutofunga Anfield kwa takribani miaka 21 , baada ya kumtandika Liverpool goli 2-0. N baada ya kujinyakulia alama zote 15 kwenye michezo mitano, Chelsea hii leo imeambulia alama 1 baada ya mchezo wake dhidi ya Southampton kumalizika...
  8. EPL : Je, Southampton atachomoka kwa Chelsea? Liverpool uso kwa uso na Everton

    Baada ya kuuanza mwezi Februari kwa kichapo kizito cha goli 9-0 kutoka kwa Manchester United na kisha kupigwa tena 3-2 na Newcastle kwenye michezo ya ligi, Southampton hii leo inashuka tena dimbani kupepetana na Chelsea The Blues itakayokuwa ugenini leo imepewa imani kubwa ya kushinda mchezo...
  9. Frank Lampard asitishiwa mkataba kuendelea kukinoa kikosi cha Chelesea, Tuchel atajwa kuja kuziba nafasi yake

    Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo. Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank? ===== Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and...
  10. M

    Liverpool vs Manchester United. Nani kupoteza uongozi

    Ni game ngumu ambayo itakuwa na ufundi na ujuzi wa hali ya juu. ila naona kabisa Man U wakija na lengo la kuzuia zaidi na kushambulia kwa njia ya counter attack. Liverpool kama kawaida yake akiwa ndani ya anfield ni kuprocess mpira vilivyo na kufanya pressing ya nguvu pindi mpira unapokwa kwa...
  11. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni acheni 'Ushamba' kwani Liverpool FC Kufungwa Goli Saba ni ajabu sana? Mnatuboa!

    Mnaacha Kujadili Manchester United nao 'Kufungwa' Bao Sita 'Mishipa' yenu 'imewakakamaa' tu Kuisema na Kuijadili tu Klabu pendwa ya 'Geniuses' wengi duniani Liverpool. Kama FC Barcelona miezi kadhaa tu ametoka 'Kuchezea' Goli Nane ila cha 'Kushangaza' wala hamkutumia muda mrefu Kuwachambua ila...
  12. Comment chochote kuhusu gemu ya juzi 28.9.2020 Kati ya Liverpool na Gunners

    Arsenal walidhani kabisa wanaenda kuuwa tembo kwa ubua kwamba wana kikosi bora kabisa. 2. Arsenal waliingia wanjani na matokeo yao mfukoni,tena wakiwa na kumbukumbu za mechi ile ya ngao ya jamii walipochukua ngao,wakaamin kabisa wanawamudu The Reds. 3. Mashabiki wa Arsenal wana mdomo sana uku...
  13. Ratiba ya Ligi Kuu Soka England 2020/21: Liverpool yaanza na vigogo. Man City na Man Utd kuanza ligi wiki ya pili

    Ligi Kuu Soka England itaanza kurindima Septemba 12, 2020 na Bingwa Mtetezi, Liverpool inaanzia nyumbani ikiikaribisha Leeds ambayo ni Bingwa wa Championship Baada ya kucheza na Leeds, Liverpool itasafiri kwenda Stamford Bridge kuchuana na Chelsea na mchezo wake wa tatu utakuwa dhidi ya Bingwa...
  14. Liverpool kuchukua ubingwa EPL, pongezi zangu nazielekeza kwa Kloop

    Wanajamvi, msimu huu team ya Liverpool imechukua ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza baada ya miaka 30 na ni mara ya kwanza tangia ligi hiyo ianzishe kwa namna tofauti kidogo na ilivyokuwa mwanzo. Nimejaribu kutafakari ni yupi anastahili sifa katika hili nimeona si mwingine ni mwanaume wa Kijerumani...
  15. Kanali Lubangu: Usiposhangilia Liverpool FC kuchukua ubingwa wa EPL 2019-2020 unaweza kushitakiwa kwa utovu wa nidhamu

    Kanali mstaafu wa jeshi la mashabiki wa soka duniani anasema mashabiki wote wa mpira wa miguu duniani wasiposhangilia pamoja na shabiki wa Liverpool FC kwa kushinda taji la ubingwa wa Ligi kuu nchini Uingereza la msimu wa 2019/2020 unaweza kushitakiwa na kuhukumiwa adhabu ya kutoshangilia timu...
  16. Usiku huu Liverpool FC inanianzishia Furaha yangu, ila Siku ya Jumapili Simba SC itanikamilishia Burudani ya Mfululizo wa Ubingwa

    Asanteni sana Chelsea FC kwa Kuturahisishia Kazi baada ya Miaka 30, ila Prisons FC Jumapili mtatusamehe mno Simba Sports Club kwa Kichapo.
  17. Wachezaji wa Liverpool waunga mkono mapambano ya kupigania haki ya watu weusi nchini Marekani

    Wachezaji wa Liverpool, wameunga mkono mapambano ya kupigania haki ya watu weusi nchini Marekani, baada ya hivi karibuni Mmarekani mweusi, George Floyd, kuuawa kikatili na Askari Polisi weupe wa nchi hiyo kwa kumkandamiza na goti sehemu ya shingo yake. Wachezaji wa Liverpool, akiwemo James...
  18. Liverpool FC - You'll Never Walk Alone; Tukutane hapa utuambie hii comeback Ulikuwa wap?

    Hii game bana me nilikata tamaa kabisa kwenda kuingalia nikaenda zangu kulala aise.sasa nipo kitandan usinginzi ushaanza kunichukua jamaa yangu akanipigia simu kwa shangwe.nikamuuliza vip mzee.akaniambia huku liver kapindua meza barcelona walituandalia ugali dagaa lakin sasa hali imebadilika...
  19. Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 61,276) - Pitch 105m x 68m Principal Owner: John W. Henry Chairman: Tom Werner Manager: Arne Slot Liverpool Trophies: League...
  20. Liverpool inaweza Ikakosa ubingwa endapo coronavirus vikiingia Uingereza

    Liverpool ambayo imebakiza pointi 12 tu kubeba ubingwa wa Ligi ya Uingereza inaweza ikaukosa endapo Coronavirus au Virusi vya Corona vitaingia Uingereza na kulazimisha ligi kufupishwa. Hakuna sheria inayoruhusu bingwa kutawazwa kabla hajamaliza mechi zote 38. Kwa mukadha huu, mashabiki wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…