YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA
Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA
GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine...
Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi.
Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10.
Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
Habari wakuu naomba wataalam au waliowahi kufanya, wanatarajia wanafanya Biashara hii ya lodge au maarufu kama bandas. Zinakuwa kama kota, zenye mazingira tulivu yenye garden kiasi na sehemu ndogo ya chakula na vinywaji kama picha inavyoonekana hapo..Tupeane tips kidogo uendeshaji wake...
Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu.
Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga...
Job Title: Assistant Lodge Manager.
Location: Arusha & Serengeti, Tanzania
About Us: Planet Lodges is hiring new talent for multiple openings at our brand-new SPA and existing properties. We are seeking passionate, experienced professionals to join our team. Get ready for an exciting career...
Lodge ipo uyole jijini mbeya lodge ina vyumba 16 safe vinavyo jitegemea kila chumba, mfumo wa Maji moto na baridi upo. Lodge ina flame zenye vyumba vya kulala vitano. Glosari, ukumbi wa mpira na car parking bei ni m.335,000,000/=
Ni maeneo gani Morogoro mjini ninaweza kupata lodge/ guest zenye sifa zifuatazo;
Pawe pasafi sana
Gharama affordable
Isiwe na baa au makelele
Pawe na uzio na usalama pia
Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye.
Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha...
Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu tusiangaike tutakapo wasili jijini hapo
Inasikitisha sana kwa hali ya hewa ya leo kuna mtu anaenda kuambukizwa virusi vya Ukimwi, leo hii kuna mtu anaenda kubambwa na mke wa Mtu, Leo hii kuna mtu atapata mimba isivyotarajiwa na safari ya usingle mother inaanza kwake rasmi, Leo hii kuna mtu atafuma meseji za usaliti na violence...
Husika na kichwa hapo juu! Kwa wenyeji wa Mbagala Dare es salaam.
Naomba msaada wa kupata huduma tajwa hapo juu ya kulala kwa gharama ya chini ya 100,000 kwa siku, isizidi 100,000/= location ilipo na mawasiliano ni muhimu
Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia patakua jirani na night club kushangaa shangaa kidogo
Habari ya jioni wakuu.
Natarajia kufungua guest house soon hivyo kuna vitu vingi kuhusu hii biashara nahitaji kuvijua..
Kwenye lodge nyingi ukiingia huwa unakuta wamebandika kikaratasi chenye kuelezea taratibu zao au marufuku ya vitu ambavyo mteja huruhusiwi kufanya.
Naomba wenye guest...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.