Shalom,
Jukwaa mnisamehe na fuatilia kwa wana kilwa masoko mtapata ukweli wote.
Ndugu wanajamii na watanzania kwa ujumla, kipekee wana kilwa masoko, ujumbe umfikie Madam Lilian wa Kilwa Beach Lodge, aweke tangazo la maandishi na sauti yake ijulikane bayana kuwa hataki kuwapa huduma waafrika...
Mtu ni mfanyakazi kama wewe hasa wadada mmepewa per diem za kawaida kabisa rate hizi hizi za night za 130,000 cha ajabu mnafika mkoa unashangaa mdada anaenda kulala lodge ya 80,000.
Aisee hatupangiani maisha lakini je Kwa maisha gani hayo unakuta nyumbani kaacha hela ndogo tu lazima uangalie na...
Inasikitisha sana kwa wakuu wa wilaya na mapolisi kuvamia guest usiku, na kuwadhalilisha wateja waliolala kama vibaka. Ifahamike kwamba gesti ni biashara kama zilivyo biashara zingine!
Kinachoendelea wilaya ya Ubungo ni udhalilishaji na kuharibiana biashara. Chimbuko la madada poa sio gesti...
Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini.
Cost iwe tsh 30,000 mpaka 40,000. Sehemu isiwe yenye kelele. Iwe nzuri pia ja yenye heshima.isiwe katika mji sehemu...
Looking for a meticulous and reliable housekeeper to maintain the cleanliness and organization of your home or office? Meet Zena! With expertise in dusting, cleaning, ironing, and caring for various furnishings including wooden, leather, and velvet pieces, Zena ensures your space remains...
Habari wakuu;
Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga?
Zingatia haya unaposhauri;
1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m
2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake
3...
Maisha yetu ya kitanzania wote tunayafahamu. Nimemsindikiza rafiki yangu kwenye msiba wa ndugu yake wa karibu na mazishi ni kesho kutwa.
Nikiangalia kwa haraka haraka kwa udogo wa nyumba msiba ulipo na idadi ya waombolezaji ambao wengi wao wanaonekana watalala nataka nimshauri huyu rafiki...
Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3.
1. Kufanya ngono
2. Kula na
3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri).
Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo.
Ila...
Habari za humu Jumba la Melo!
Ninatarajia kupata mgeni kesho Ijumaa hii akitokea kusini kwa kina Miso Misondo.
Mgeni wangu amehitaji hotel au lodge nzuri maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto au Pugu, anahitaji hotel au lodge kwenye eneo mojawapo ya hayo lkn kuwe na utulivu kiasi cha kuweza...
BAHATI HAKUWA MKE WANGU NI MKE WA KAKAYETU MMOJA MAJUZI KATI NILIENDA KUPUMZIKA LODGE MOJA SINZA
NIKIWA NATOKA GAFLA NIKAONA NA YEYE KATANGULIZWA MBELE NA JAMAA AKAPANDA CRUISER MOJA MATATAA
TULIPOANGALIANA TULIPEANA TU SMILEFACE
NKAWAZA SANAA WAKEZETU HAWAA MMMH..MUMEWE N DEREVA WA...
Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo.
Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi.
Asante.
NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
Wadau mlioko Nairobi niko njiani naelekea huko,mwenye kujua mitaa gani naweza kupata Lodge ya bei rahisi,budget yangu isizidi 1500 ksh kwa siku,chumba sefl contained...
Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo.
Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
Hi guys hope mko poa woteeeee
rejea kichwa cha habari hapo juuu tunaomba mwenye kujua hili atupe direction pls '
kuna kazi dar tunawaleta mabinti kadhaa na makakaa wengi kidogo
nahitaji .............maelekezo yenu ahsanteni isiwe mbali sana na jiji letu tukufu
wale wachumi tumeelewana
rgds
Pdidy
Kuna vijana wa hovyo sana nchi hii. Utakuta mijitu imeweka kijiwe nje ya lodge/guest house inapiga stori zisizo na kichwa wala miguu.
Hivi nyie mmekosa mahali pa kwenda mpaka mje mkae hapo nje ya guest na kusababisha watu wanashindwa kutoka humo ndani. Si muende uwanjani au sehemu nyingine...
Wananchi wa Ilemela Mwanza tuna taabu kubwa, hapa naandika hii thread ni saa sita usiku, hawa Kwa Tunza lodge wanapiga muziki sauti ya juu sana hakuna kulala. Tena leo wamemualika DJ AllyB kila saa "Nasemaje", yaani tunasubiri alfajiri wakimaliza labda ndio tutalala.
Huyu Salum mmiliki wa Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.