lodge

  1. Kama kuna wanaotaman kesho iwe April wenye lodge na wauza kitimoto kwa sasa wanateseka SANA sana

    YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine...
  2. K

    Natafuta lodge au guest bubu ya bei rahisi mbeya mjini

    Kesho asubuhi nitakua mbeya mjini kwa shughuli zangu binafsi. Natafuta lodge au guest house zile bubu ya bei rahisi,budget yangu ni shilingi za kitanzania elfu 8 to 10. Iwe mbeya mjini maeneo ya kuanzia uyole,nanenane,ilomba,Sae,Mama John,Soweto,isyesye na mafiati.iwe na usalama wa kueleweka na...
  3. Ni Nini tofauti kati ya Guest house, Lodge, Hoteli na Motel?

    Wakuu ebu nipeni majawabu kujifunza hakuishi. karibuni
  4. Biashara ya lodge au bandas.

    Habari wakuu naomba wataalam au waliowahi kufanya, wanatarajia wanafanya Biashara hii ya lodge au maarufu kama bandas. Zinakuwa kama kota, zenye mazingira tulivu yenye garden kiasi na sehemu ndogo ya chakula na vinywaji kama picha inavyoonekana hapo..Tupeane tips kidogo uendeshaji wake...
  5. O

    Unafunga TV sebuleni lakini kunakuwa hakuna tofauti na Bar au lodge

    Watu wengi hufunga TV ukutani kwa urefu wa kimo kikubwa sana zaidi ya mita Moja na ushee, yaani unakaa sebuleni utafika uko bar au lodge, kuangalia TV nimpaka uinue shingo juu au ulale kwenye mto wa kochi/sofa kichwa juu. Hapo UNAAMBIWA wanaogopa watoto wasivunje TV, Kwani watoto ni wajinga...
  6. Assistant Lodge Manager at Planet Lodges February 2025

    Job Title: Assistant Lodge Manager. Location: Arusha & Serengeti, Tanzania About Us: Planet Lodges is hiring new talent for multiple openings at our brand-new SPA and existing properties. We are seeking passionate, experienced professionals to join our team. Get ready for an exciting career...
  7. Lodge for sale!

    Lodge ipo uyole jijini mbeya lodge ina vyumba 16 safe vinavyo jitegemea kila chumba, mfumo wa Maji moto na baridi upo. Lodge ina flame zenye vyumba vya kulala vitano. Glosari, ukumbi wa mpira na car parking bei ni m.335,000,000/=
  8. M

    Naomba kuuliza kuhusu lodge/ guest Morogoro Mjini

    Ni maeneo gani Morogoro mjini ninaweza kupata lodge/ guest zenye sifa zifuatazo; Pawe pasafi sana Gharama affordable Isiwe na baa au makelele Pawe na uzio na usalama pia
  9. K

    Ushauri: Lodge karibu na Edema, Msamvu - Morogoro

    Msaada tutani. Lodge nzuri karibu na Edema. Bei 25k hadi 30k
  10. Kama umewahi kufanya kazi Lodge na hujamalizia show (KUFANYA UPONYAJI) huenda huna bahati

    Kipindi nimemaliza kidato cha 6 nilikuwa nasimamia lodge ya ndugu yangu kipindi nasubiri kwenda chuo, sasa leo natoa siri kwa wanaume, ukienda lodge na demu wako kuanzia leo, hakikisha unaondoka naye. Iko hivi, kuna watu wanapiga show kizembe halafu akimaliza anavaa fasta anaondoka anaacha...
  11. Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

    ,,,
  12. Naomba kujuzwa lodge za bei nafuu dodoma

    Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu tusiangaike tutakapo wasili jijini hapo
  13. Leo Mji wa Dar; Gesti, Hotel na Lodge nyingi zimejaa

    Inasikitisha sana kwa hali ya hewa ya leo kuna mtu anaenda kuambukizwa virusi vya Ukimwi, leo hii kuna mtu anaenda kubambwa na mke wa Mtu, Leo hii kuna mtu atapata mimba isivyotarajiwa na safari ya usingle mother inaanza kwake rasmi, Leo hii kuna mtu atafuma meseji za usaliti na violence...
  14. Hotel au Lodge nzuri Mbagala Dare es salaam

    Husika na kichwa hapo juu! Kwa wenyeji wa Mbagala Dare es salaam. Naomba msaada wa kupata huduma tajwa hapo juu ya kulala kwa gharama ya chini ya 100,000 kwa siku, isizidi 100,000/= location ilipo na mawasiliano ni muhimu
  15. Lodge chini ya 10000 jaman tujuzane

    Rejeankichwa cha habari hapo juu Naomba kujua Lodge enye bei chini ya 10000 tujuzane pls Majibu yote kuzingatiwaa
  16. Lodge chini ya 10000 tujuzane wapendwa....

    .wenye kujua Lodge nzuri chini ya 10000 tujuzane wapendwa Majibu ya heshima na hekimas kuratibiwa
  17. M

    Hotel au lodge nzuri Bukoba Mjini 30-50 chakula na club jirani

    Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia patakua jirani na night club kushangaa shangaa kidogo
  18. Taratibu za kufuata ili kupata kibali cha kuendesha lodge

    Members habari za wakati huu nauliza ni taratibu zipi za kufuata ili kupata leseni ya biashara ya lodge
  19. Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

    Habari ya jioni wakuu. Natarajia kufungua guest house soon hivyo kuna vitu vingi kuhusu hii biashara nahitaji kuvijua.. Kwenye lodge nyingi ukiingia huwa unakuta wamebandika kikaratasi chenye kuelezea taratibu zao au marufuku ya vitu ambavyo mteja huruhusiwi kufanya. Naomba wenye guest...
  20. Naomba ushauri kuhusu biashara ya lodge

    Wana jamiiForums mambo vipi.. Naomba mnisaidie vitu vya muhimu kuwepo ndani ya chumba cha lodge. Ili iongeze utofauti na mvuto wa lodge.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…