love bite

  1. Money Penny

    Anatafutwa Kijana anaeweza kumpa Mwanamke Love Bite

    Jamaani Nani ni kamanda wa kutoa love bite kwa wanawake? Kuna mtu anauliza love bite ni nini? Inapatikanaje? Unaitwa wewe mtaalamu
  2. Mtoa Taarifa

    KWELI Kupiga 'Love Bite' shingoni inaweza kusababisha mtu kupata Kiharusi (Stroke)

    Wakuu hii imekaaje aisee? Isije tukauma Watoto wa watu huko mtaani wakafia ghetto au kupata Stroke ile yenyewe sio stroke ya yale mambo?
  3. Nyamwi255

    Msaada: Jinsi ya kufuta love bite

    Au jinsi ya kuifichaficha isionekane kwa mtu ambaye hajaiweka yeye. Au kufikia Jioni itakuwa imeshafutika yenyewe? NB: 1. Nasoma comment tu. Nita mquote mtu mwenye positive reply Tena pale inapobidi. 2. Matusi, kejeli, kebehi yanaruhusiwa. Kazi kwenu.....
Back
Top Bottom