Au jinsi ya kuifichaficha isionekane kwa mtu ambaye hajaiweka yeye. Au kufikia Jioni itakuwa imeshafutika yenyewe?
NB:
1. Nasoma comment tu. Nita mquote mtu mwenye positive reply Tena pale inapobidi.
2. Matusi, kejeli, kebehi yanaruhusiwa.
Kazi kwenu.....