Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa onyo kwa Mbunge wa Kishapu, Lucy Mayenga kufuatia kauli zake za kuudhi na kudhalilisha alizozitoa dhidi ya Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo Mei 21, 2026 wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi.
"Maneno aliyotumia Mhe. Lucy Mayenga...