Zungu amuonya vikali Mbunge CCM, kwa kutumia lugha za kuudhi na kudhalilisha Bungeni ''Sigrada hajitambui''

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa onyo kwa Mbunge wa Kishapu, Lucy Mayenga kufuatia kauli zake za kuudhi na kudhalilisha alizozitoa dhidi ya Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo Mei 21, 2026 wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi.

"Maneno aliyotumia Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge, tarehe 21 Mei 2026 kwamba 'mbunge hajitambui' ni lugha ya kuudhi, kudhalilisha na kumsema vibaya mbunge mwingine. Aidha, Mhe. Mayenga alitumia maneno yafuatayo: 'Mheshimiwa Naibu Spika, sitaki taarifa zako na wewe hebu kaa chini.' Maneno hayo hayaonyeshi heshima kwa kiti kilichokuwa kinaongoza kikao, wala kwa mbunge aliyewomba nafasi ya kutoa taarifa. Ikumbukwe kwamba kabla kiti hakijatoa uamuzi wa ombi la Mhe. Sigrada, Mhe. Lucy Mayenga aliingilia kati kwa kutumia lugha niliyoitaja hapo juu.

Waheshimiwa Wabunge, kutoheshimu kiti na kutumia lugha isiyo ya kibunge ni ukiukwaji wa kanuni za bunge zinazosimamia majadiliano bungeni. Hivyo, natoa onyo kwamba maneno na vitendo hivyo visirudiwe ndani ya Bunge."

"onyo kali" ni pamoja na kumfungia kwa miezi isiyopungua 6.
 
Familia ya Kambale hiyo, Spika Zungu jitahihidi mzee wangu kulifanya Bunge liwe Bunge kweli. Kwa sasa akisimama mbuge wa CCM huezi kuelewa nani Waziri nani mbuge, maana wote wanaisemea na kuisifia serikali, wakielimishwa kama huyo Lucy Mayenga ndio unaona anatoa order hadi kwa Naibu Spika, what a shame.
 
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa onyo kwa Mbunge wa Kishapu, Lucy Mayenga kufuatia kauli zake za kuudhi na kudhalilisha alizozitoa dhidi ya Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo Mei 21, 2026 wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi.

"Maneno aliyotumia Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge, tarehe 21 Mei 2026 kwamba 'mbunge hajitambui' ni lugha ya kuudhi, kudhalilisha na kumsema vibaya mbunge mwingine. Aidha, Mhe. Mayenga alitumia maneno yafuatayo: 'Mheshimiwa Naibu Spika, sitaki taarifa zako na wewe hebu kaa chini.' Maneno hayo hayaonyeshi heshima kwa kiti kilichokuwa kinaongoza kikao, wala kwa mbunge aliyewomba nafasi ya kutoa taarifa. Ikumbukwe kwamba kabla kiti hakijatoa uamuzi wa ombi la Mhe. Sigrada, Mhe. Lucy Mayenga aliingilia kati kwa kutumia lugha niliyoitaja hapo juu.

Waheshimiwa Wabunge, kutoheshimu kiti na kutumia lugha isiyo ya kibunge ni ukiukwaji wa kanuni za bunge zinazosimamia majadiliano bungeni. Hivyo, natoa onyo kwamba maneno na vitendo hivyo visirudiwe ndani ya Bunge."

Ninajipanga nije nimle huyu Lucy Mayenga! Ni jirani yangu huku mtaani!
 
Hakuna bunge, nani aliwachagua. Ni kusanyiko la wahuni, wezi, waporaji, wauaji, wafiraji, wabakaji and all filthy things you can imagine!
 
Jiandae kuanza dozi
Aaah, nephew, ana umeme? Nitamla tu hivyo hivyo Bora nimejua mapema! Hawa ccm ukiwakamata ni wa kuwapa suluba wala siyo mapenzi tena unahakikisha miguu igusa dari, Matako yao!
 
Kwanini onyo hili halikutoka tar 21/22 linakuja kutoka Leo?
 
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametoa onyo kwa Mbunge wa Kishapu, Lucy Mayenga kufuatia kauli zake za kuudhi na kudhalilisha alizozitoa dhidi ya Mbunge wa Viti Maalum (CHAUMMA) Sigrada Mligo Mei 21, 2026 wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi.

"Maneno aliyotumia Mhe. Lucy Mayenga, Mbunge, tarehe 21 Mei 2026 kwamba 'mbunge hajitambui' ni lugha ya kuudhi, kudhalilisha na kumsema vibaya mbunge mwingine. Aidha, Mhe. Mayenga alitumia maneno yafuatayo: 'Mheshimiwa Naibu Spika, sitaki taarifa zako na wewe hebu kaa chini.' Maneno hayo hayaonyeshi heshima kwa kiti kilichokuwa kinaongoza kikao, wala kwa mbunge aliyewomba nafasi ya kutoa taarifa. Ikumbukwe kwamba kabla kiti hakijatoa uamuzi wa ombi la Mhe. Sigrada, Mhe. Lucy Mayenga aliingilia kati kwa kutumia lugha niliyoitaja hapo juu.

Waheshimiwa Wabunge, kutoheshimu kiti na kutumia lugha isiyo ya kibunge ni ukiukwaji wa kanuni za bunge zinazosimamia majadiliano bungeni. Hivyo, natoa onyo kwamba maneno na vitendo hivyo visirudiwe ndani ya Bunge."

Hapo huo mkusanyiko si bunge bali ni kijiwe cha CCM.
 
Aaah, nephew, ana umeme? Nitamla tu hivyo hivyo Bora nimejua mapema! Hawa ccm ukiwakamata ni wa kuwapa suluba wala siyo mapenzi tena unahakikisha miguu igusa dari, Matako yao!
Hapo ndo unakosea zaidi. Ukiwa unadhani mwanamke anakomolewa kwa kumkamia show ety unakomoa bado akili yako haijaelewa mfumo wa dunia ulivyo. Hilo shimo halijawahi kukomolewa, sana sana unajikomoa na unajisogezea kaburini.
 
Back
Top Bottom