Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji.
Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani.
1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu.
2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
Salaam!
Jamani nimeandikiwa kwa lugha ya Putin sijaelewa so anayefahamu anieleweshe.
Уважаемый мистер Шабани! Я искренне не понимаю чего Вы хотите добиться своими сообщениями?
Natanguliza shukran!
Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo.
Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila kukariri huwezi kujua kusoma na kuandika, bila kukariri huwezi kushika verbs, bila kukariri huwezi...
Niko huku Sudan Kusini nasaka mpunga kwenye mishe fulani hivi na nimefaulu kukatiza maeneo mengi na kushududia namna Wakenya wamehusika pakubwa kwenye kubadilisha maisha ya hawa watu waliokua wamezoea vita maporini. Kiswahili kinazidi kutamalaki na kuzagaa, leo hii kuna ushindani mkali baina ya...
Dogo yuko fm1 shule zetu za kata. Jana nikawa nambananisha maswali ya hapa na pale ya fm 1, kichwani hamna kitu.
Basi nikamwambia anitajie majina ya Topics za hesabu, akataja topic 1 tu inaitwa Real number. Nikamwambia taja topics za History, akataja Chimpanzee, taja topics za chemi hajaweza...
Elimu yetu inajengwa kwa msingi wa lugha ya Kiswahili baadaye inachanganywa na lugha ya Kiingereza.
Wakuu naomba tusaidiane, hii sentensi inamaana gani? Yaani nikiwa naama kwamba wewe umeilewaje?
Kama tunapenda maendeleo ya kiuchumi kupitia elimu yetu tunapaswa kufanya jambo katika elimu yetu...
Nipo nasoma sheria zenu, Penal Code (2019) inakosa kidogo kwenye kiingereza limetumia neno 'Parson' badala ya 'Person' katika Ibara ya 176
Neno person ni tofauti na Parson
LUGHA YA KISWAHILI
Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye misamiati mingi ya Kiarabu (30%), lakini sasa ya Kiingereza pia (10%), inayozungumzwa katika eneo kubwa la Afrika ya Mashariki.
Lugha hii ina utajiri mkubwa wa misamiati, misemo, methali, mashairi, mafumbo, vitendawili na nyimbo. Kiswahili...
SIMULIZI NDEFU ZA KUVUTIA ZA PROF. ABDULAZIZ LODHI, KTK MAHOJIANO MAREFU NA MTAYARISHAJI WA KIPINDI CHA GUMZO LA GHASSANI
Mzalendo mzanzibari Profesa Abdulaziz Lodhi, bingwa wa taaluma za Lugha anasimulia Zanzibar kabla ya uhuru na baada ya Mapinduzi pia mchango wake ktk elimu Zanzibar na...
Elimu ya Tanzania haichangii chochote kwenye global science and technology kwasababu inahabiribiwa na mwingiliano wa lugha baada ya miaka 7 kuanzia kidato cha kwanza.
Hapo juu ni mada:
Karibuni tujadili kiundani:
Mimi nitatoa highlights zangu chache hapa:
Kuanzia kidato cha kwanza wanafunzi...
Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma.
Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja
ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine.
Hii haikuwa muujiza bali...
Mimi kama Mtanzania nipendaye lugha yangu ya Kiswahili nasikitika sana kuona lugha hii ikiharibika. Chakusikitisha zaidi ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa juu kuanzia Rais, waziri wa utamaduni n.k. anayefanya jitihada madhubuti ya kukienzi Kiswahili.
Kwenye hotuba yake ya Mpango wa Maendeleo...
Habari ndugu zangu,
Hope mko poa na majukumu ya kazi.
Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno.
Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina...
wadau na ombeni msada wenu nashwindwa kuelewa kwa nini tuvuti nyingi za Tanzania zikiwemo za serekali na watu binafsi zinachapishwa kwa kingereza huku walengwa tukiwa ni raia wakawaida kabisa ambao wengi wetu hatuko vizuri na hiyo lugha
hilo lakwanza jambo jingine nathani hili linakera...
Natanguliza shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kazi nzuri mnayoifanya. Yaani mpaka nje ya nchi Watanzania na wasiokuwa utawakuta wanasoma na kutoa maoni katika mtandao huu maarufu. Hongereni sana.
Sasa nije kwenye mada yangu. Sisi Wazanzibari tupo vizuri sana tena sana katika lugha zetu mbili...
Wanabodi,
Baada ya Rais Samia kuhutubia Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani kwa kutumia lugha ya Kiingereza safi kilichonyooka, kuna wajinga fulani huku kwenye mitandao ya Kijamii, walimpongeza Rais Samia kwa kuhutubia kwa Kiingereza safi na huku wakimponda...
Watoto ni miongoni mwa kundi mahsusi ambalo linahitaji uangalizi na kusaidiwa katika kuchukua tahadhari na kupambana dhidi ya Covid-19
Wataalamu wa Saikolojia wanashauri kuwa ukiona mtoto amefanya tabia hatarishi katika kijikinga na #coronavirus usikae kimya wala usichukue uamuzi usiofaa...
Nyanja: Utawala Bora/Haki za Binadamu.
Imekuwa ni tabia kuwa chaguzi zinapowadia huwa serikali nyingi mahala pengi duniani zinafanya mabadiliko ya baadhi ya sera, mikakati na mipango yake ili kuakisi mahitaji ya kisiasa ya ushindi katika chaguzi mbalimbali hasa uchaguzi mkuu ambao ndiyo unaweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.