Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia...
Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5.
Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
Mapungufu katika Sheria yanaweza kuwa ni Lugha ambayo imetumika ikiwa haijulikani kwa Raia wengi na hivyo kusababisha tafsiri tofauti, au utata katika Utekelezaji wake.
Pia, Utekelezaji wake kuwa na mwelekeo wa upendeleo au ubaguzi dhidi ya makundi fulani ya Watu, ikisababisha kutokuwa na Usawa...
Lugha ya Ishara ni lugha ya kuona ambayo hutumia mikono, mwili na mienendo ya uso kusiliana. Kuna zaidi ya lugha ya ishara 135 ulimwenguni kote, na karibu asilimia 20 ya idadi ya watu duniani wana ulemavu wa kusikia. Hivyo, watu wengi wanahitaji kutumia lugha ya ishara kama njia ya mawasiliano...
Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama...
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa kila mwaka tarehe 21 Februari. Ni siku iliyotambuliwa na Umoja wa Mataifa kukuza utofauti wa lugha na tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha na tamaduni ulimwenguni kote.
Siku hiyo inakumbuka Maandamano ya Lugha ya Kibengali ya mwaka...
What is the etymology of the Swahili words you are coining? The science of the origin of the words you are coining ni ipi?
Mfano, Akili Mnemba, Mnemba etymology yake ni ipi?
Mfano, in English, Tele means FAR, and PHONE means sound, therefore TELEPHONE means FAR SOUND ie one can hear a sound...
Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua.
📹 TheChanzo
Written by Mjanja M1 ✍️
Jana nilifika katika ofisi za BAKITA (Taasisi ambayo inabeba dhamana ya lugha ya Kiswahili inayotuunganisha sisi kama Watanzania). Nilichokiona kimenisikitisha sana.
Nilihitaji kupatiwa huduma ya Tafsiri cha ajabu niliambiwa hakuna umeme ofisi nzima (kutokana na mgawo ambao unaendelea nchini...
Wadau mliosoma uwalimu Haswa walimu wa lugha kwa level zote diploma na degree. Kuna yoyote anayekumbuka kujifunza juu ya sera ya lugha ya Tanzania.
Katika kozi ulizosoma chuo je kunakozi yoyote iliyokufundisha kutambua sera ya lugha ya Tanzania na malengo yake.
Kama walimu watarajiwa...
Vyama vya Siasa nchini vinatakiwa kuweka mazingira wezeshi yatakayowasaidia watu wenye changamoto ya kusikia na kuongea ili kutimiza haki yao Kikatiba ya kushiriki katika mchakato mzima wa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa vikwazo.
Kutokuwepo kwa mazingira rafiki kwa kundi hili maalum...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaz, Jerry Silaa amewataka Wasajili wa Hati wa Ofisi za Kamishna wa Ardhi Dar es salaam na Pwani kuacha Urasimu kabla hajaanza kuwachukulia hatua kali za kinidhamu.
Waziri Silaa ametoa kauli hiyo wakati alipofanya kikao maalumu na wasajili hao katika...
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemfungia mechi nane Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche kwasababu ya shutuma zake alizozitoa dhidi ya Morocco
Adhabu hiyo ulitolewa jana na Kamati ya Nidhamu ya CAF baada ya malalamiko yaliyowasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la...
Kwa mujibu wa wachambuzi wa kauli za Papa. Wanadai hajasema ndoa za jinsia moja zibarikiwe, bali vitu vya hawa watu akija mmojammoja na anavitu vyake basi wasisite kuvibariki.
Kusema bora ubariki jiwe ni sawa na kusema kilekile alichokisema Papa kuwa bora ubariki Sofa au Mradi au nyumba ya...
Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake.
Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii.
Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji pasipo kuchelewa ila Kuna wale ambao kutokana na sababu mbalimbali huchelewa kuendana na hatua za...
Ni mjadala wa miaka mingi, lakini bado muafaka haukafikiwa.
Kuna wanaotaka Kiswahili kitumike kufundishia kuanzia Chekea Hadi Chuo Kikuu, na kuna wanaotoka English iwe lugha rasmi ya kufundishia madarasa yote.
Mimi nakubaliana na wanaotaka Kiingereza ndiyo kitumike?
Kwa wale wanaotaka...
Burkina Faso ikiwa chini ya Ibrahim Traoré kwa mpito umepitisha muswada wa marekebisho ya Katiba na hivyo kutangaza lugha zao za ndani kuwa lugha rasmi badala ya Kifaransa ambayo sasa imeshushwa hadhi kuwa "Lugha ya kazi".
"Katika rasimu hii, lazima tukumbuke kuwa lugha za kitaifa zimeainishwa...
IQ>>AI
Na KENGE
Technology ya AI inazidi kukua siku hadi Siku,kupelekea makampuni makubwa kama Google na Microsoft kushindana ubunifu wa AI Technology.Kwasasa tumeona picha nyingi zikisambaa kila mtu anaweza kutengeneza picha yake kama tulivyoona hapa
Jinsi ya kutengeneza Picha kwa AI...
Ndugu zangu kuna Msukuma anakijua vizuri zaidi basi please:
Umo wing'we anambeleje kutafsiri Lugano lwenulu na mambo gose du.
Tusaidiane tafadhali wasukuma. Nitumie tafsiri yake kupitia 0734189022 tafadhali
The DEDE legend: Sukuma tradition
""Lugano lwa DEDE, lwa kabili:
Dede 1 Kimala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.