lugha

  1. R

    Lugha zifuatazo hazifundishwi darasani na mwanadamu yeyote

    Salaam, shalom, INTRODUCTION. Lugha ni chombo na mawasiliano, ni nyenzo ambayo hutumika kama kiunganishi kati ya mtu mmoja na mwingine au kundi moja na jingine. Lugha hizo zaweza kuwa Rasmi au zisizo Rasmi, pia lugha zaweza kuwa zinazotamkika zingine zaweza kuwa za Ishara. Dunia ilipoumbwa...
  2. Kipindi Cha "WATUBAKI" Cha Dstv Kijirekebishe Waache kutumia Lugha zenye Maudhui ya Kingono na Matusi

    Habari Wakuu, Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri...
  3. Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!. Hili Taifa la...
  4. Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

    Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania' Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "ebila", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
  5. R

    Lugha gongana: Wananchi tunataka pesa irudi, wanasiasa wanavizia koti la kiranja mkuu

    Salaam, shalom!! Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi. LUGHA YA WANANCHI. Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi...
  6. S

    Makosa ya kuunganisha maneno katika lugha ya kiswahili

    Kuna makosa mengi yanajitokeza katika uandishi ambayo ni makosa ya kuunganisha maneno kana kwamba ni neno moja ilhali ni maneno mawili tofauti na yenye uamilifu tofauti. Mfano wa maneno hayo ni kama; Nakadhalika badala ya Na kadhalika. Halikadhalika badala ya Hali kadhalika. Kwanini badala ya...
  7. Kunena kwa lugha ni nini? Na nini hutokea pale mtu anaponena kwa lugha?

    Wakuu, Hapa duniani Kuna Imani nyingi, Kuna watu ambao hawaamini Mungu (atheists), Kuna waislam,Kuna wabudha. Kuna wakatoliki,wasabato na Kuna hawa wahusika wenyewe (walokole na wengineo). Ninapenda kujua mitazamo yenu juu ya Hawa watu kunena kwa lugha. Je ni Mungu au sio? A) Wanaosema ni...
  8. S

    Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k. (ii) Kutozingatia alama...
  9. S

    Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
  10. Kijue kitabu kilichotafsiriwa kwa lugha nyingi zaidi duniani

    Kitabu cha kwanza kutafsiriwa kwenda kwenye lugha nyingi ni Biblia, Ambayo ilitafsiriwa kwenda kwenye lugha takribani 3589. Kitabu cha pili kutafsiriwa kwa lugha nyingi ni Don Quixote, riwaya iliyoandikwa na Miguel de Cervantes (Pichani), Riwaya hii huhesabiwa kuwa ni riwaya bora ulaya nzima...
  11. Septemba 30, Siku ya Kimataifa ya Tafsiri ya Lugha

    Siku ya Kimataifa ya Tafsiri huadhimishwa Septemba 30 kila mwaka ikiwa na lengo la kuwaenzi Wataalamu wa Lugha, kuyaleta Mataifa Pamoja, Kuwezesha Mazungumzo, Maelewano na Ushirikiano, Kuchangia Maendeleo na Kuimarisha Amani na Usalama Duniani. Mei 24, 2017, Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa...
  12. Hatimaye GO BET waomba radhi kwa kutumia lugha ya kuudhi

    Baada ya kutumia neno la kuudhi wameamua kuomba radhi ingiwa wametumia maneno ya kijanjajanja
  13. Lugha ya alama yajumuishwa kwenye utoaji huduma Hospitali ya Muhimbili

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imejumuisha lugha ya alama ili kutoa usaidizi kwa wagonjwa wenye tatizo la kusikia ili kuwaondolea changamoto za mawasiliano wakati wa kupata huduma za matibabu hospitalini hapa. Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Masikio, Pua na Koo, Dkt. Aslam Nkya uamuzi huo...
  14. Mabadiliko: Hamis Kigwangwala aanza kuzungumza lugha ya Wananchi

    Katika hali ya kushangaza, Waziri wa zamani wa Utalii Hamis Kigwangwala amejitokeza hadharani kutaka jamii iwapime viongozi kwa utendaji badala ya Uchawa . Tunampongeza sana Mh huyu kwa kuliona jambo hili . Bali wengi tunajiuliza , maono haya ya Kigwangwala yanatoka moyoni kweli au ni kwa vile...
  15. Lugha mchanganyiko

    Ukifika mitaa ya Mbezi mwisho ukiulizia mkalimani Clark huwezi nikosa kabiiiiiisa Ni Mimi mtaalamu wa lugha ninayeweza kuongea Hadi lugha tano 😌 Leo tunaanza na salamu za asubuhi English--Goodmorning Spanish--buen día Chinese--早上好(zaoshang hao) Italiano--Buongiorno Japanese--おはよう(ohayo)...
  16. Wajuzi wa lugha ya kiingereza!

    Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania! Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza nongwa! Hatari sana hii!
  17. M

    Ni Tanzania pekee kukuta watu wanasikiliza nyimbo ya lugha wasiyoijua

    Nimefanikiwa kufika nchi kadhaa na sikuwahi kuona watu wa nchi hizo wakisikiliza au kufurahia nyimbo zilizoimbwa kwa lugha za nchi zingine wasizozijua. Lakini hapa kwetu miaka nenda rudi tangu nakua miaka ya 70 nimekuwa nikishuhudia watu wengi wakisikiliza nyimbo za Kizungu na ukiwafuatilia...
  18. Utani wa Rais Samia na Ruto kuhusu lugha ya Kiswahili na Kingereza

    Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
  19. R

    Mwabukusi: Mwizi ni mwizi hakuna lugha ya kiungwana ya kumuita mwizi

    Mwabukusi amesema mwizi ni mwizi hakuna lugha ya kiungana ya kumuita mwizi, akisema kama mtu anataka heshima ya kinafiki atoke kwenye ofisi za umma akakae nyumbani kwake ambako atasifiwa wakati wote. Akaongeza kuwa kama ukikaa kwenye ofisi za umma hauna faragha unayoitaka, ukiiba au ukiwa...
  20. Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza. Hii ni kata ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…