Hii ndio Tanzania.
Hii habari imeandikwa na gazeti la mtanzania la leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge, Balozi Adadi Rajabu amethibitisha mkataba huo kati ya Jeshi la Polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises kuwasilishwa mbele ya Kamati yake siku ya jana.
===============
Njama nzito...
Mungu ana makusudio kwa watu wake waliokuwa wameanza kulishwa matango pori kupitia vyombo vya habari kuwa amepatikana malaika tena mtenda haki asiyestahili hata kukoselewa na ukimkusoa wewe si mzalendo bali una wivu tu na chuki dhidi yake.
Tumeaminishwa haangali sura,hana chama, anasimamia...
Bunge latoa siku tatu kwa Jeshi la Polisi kuwasilisha mkataba wa Lugumi wenye kiasi cha takribal Bil 37.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati za Bunge Aishi Hilali ili mkataba huo uweze kupitiwa tena Bunge.
Chanzo: East Africa Radio.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,Ernest Mangu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani,Jaji Meja Jenerali Projest Rwegasira, wameripotiwa kutupiana mpira kuhusu kuhusu ni nini kimesababisha kutokuwasilishwa kwa mkataba huo kwa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali siku ya jana.
Mangu anasema...
Wandugu.
Wengi kwasasa tunaelewa kinachoendelea kati ya uongozi wa jeshi la polisi na kamati ya bunge (PAC) katikati akicheza Saidi Lugumi na timu yake ya vigogo.
Hii Leo jeshi la polisi lilipaswa kua limewasilisha mkataba wao na Lugumi Enterprises ikiwa ni pamoja na payment trends in which 99...
Mtakumbuka ule mkataba uliozua mjadala mkubwa kati ya jeshi la polisi na kampuni ya Lugumi ambayo mtoto wa rais mstaafu Ridhiwan Kikwete amekiri kuwa na urafiki na mmiliki wake. Leo mbivu na mbichi inajulikana baada ya kuwekwa hadharani mbele ya kamati ya bunge.
Kashfa hiyo inatarajiwa kukigawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.