Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, amesema hatakaa kimya wakati baadhi ya watu wakiendelea kuendeleza ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, hali inayorudisha nyuma maendeleo ya wananchi.
Soma Pia:
Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo tarehe 14, Februari 2025 imetupilia mbali shauri la kikatiba lililofunguliwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina juu ya kupinga uaagizwaji wa sukari nje ya nchi.
Uamuzi wa shauri hilo umesomwa na Jaji Salma Maghimbi akieleza...
Ukweli ni kwamba ,hata uwe mwanaCCM kindakindaki kama una akili huwezi kufurahia mambo yanaendelea nchini.
Sasa CCM mtaamua wenyewe, Kuendelea kukumbatia 'Majuha' na kuwapuuza watu aina ya Mpina, Bashiru n.k Kwa kisingizio cha Sukuma Gang ili mwisho wa siku muwe ni sikio la Kufa.
Lissu yupo...
Huyu Luhaga Mpina naona ana ushawishi sana kwa wafuasi wa mwendazake, kwa jinsi anavyoipopoa serikali ya inayoundwa na chama chake sioni dalili za yeye kupitishwa tena kuwa mgombea wa nafasi yoyote kwa chama chake.
Akienda CHADEMA akagombea urais itaufanya uchaguzi mkuu kuwa wa kiushindani sana.
Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
Wakuu hamjamboni nyote...
Nadhani wote mnamfatilia Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa na Kada Kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi, Namna anavyozungumzia uongozi uliopo wa CCM na serikali kwa mtazamo hasi. Kwa namna na minajili hiyo na kwa mfumo wa CCM ni wazi hataweza kukubalika kuendelea na...
1. LUHAGA MPINA - huyu hata ashinde kura za maoni, ATAENGULIWA
2. NDUNGAI - Mzee hatoboi kura za maoni, ishu inamalizika chini kwa chini
3. GAMBO - apambane sana
Soma Pia: Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni
Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Mhe Luhaga Joelson Mpina kwa wiki kadhaa sasa amekuwa akiishambulia vikali kwa hoja nzito nzito Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan lakini mamlaka husika ziko kimya kabisa.
Tujaribu kufikiria kama Wananchi wataamua kuchukua...
Ndugu zangu Watanzania,
Msishangae Kwanini Luhaga Mpina Amekuwa akitoa taarifa za uzushi,uongo na uchonganishi mara kwa mara. Nyote ni mashahidi wa namna ambavyo amekuwa akitoa taarifa kuonyesha kana kwamba hakuna kilichofanyika awamu hii pamoja na kutoa maneno yenye kutaka kuleta na kujenga...
Wakuu. Kwa namna ambavyo Mpina ameendelea kuwa mwiba mkali kwa serikali ya CCM, nashauri angekuwa na tiketi ya ndege na passport kabisa.
=========================================================
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina akizungumza hivi karibuni na vyombo vya habari na wanahabari hivi...
MPINA anaanzia pale alipoishia Bungeni, Sasa anawakumbusha Serikali, katika kujitetea waliahidi IGA yenyewe italetwa Bungeni kabla ya Utekelezaji, kwanini wapi kimya??.
Hata Ahadi yao wenyewe wameivunja??
Mzee Wassira Sasa hapa utamtetea nani?.
Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 .
"katika mwaka 2020/2021 mashauri ya malimbikizo ya kodi za makinikia yaliamuliwa katika mahakama za rufani za kodi yenye thamani ya shilingi Trilioni 5.595 na mahakama kuagiza kufanyika mazungumzo kati ya Serikali na walipa kodi ambayo ni North Mara gold...
Wakuu,
Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia :BearLaugh: :BearLaugh:.
Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.
Sa itakuaje?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
Unadhani nini kilikuwa kinapita...
HOTUBA YA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) ALIPOFANYA ZIARA YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UJENZI WA SHULE YA UFUNDI MWANDOYA MEATU SIMIYU TAREHE 11 JANUARI 2025
Serikali ilileta fedha kiasi cha Tsh. Milioni 584 mwezi Juni 2024 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Ufundi...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu.
Mpina ametoa kauli hiyo wakati akiwa ziarani jimboni humo ambapo amebaini ubadhirifu wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.