luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. figganigga

    FULL TEXT: Sababu za Luhaga Mpina kuwafungulia Kesi ya Sukari. Spika wa Bunge(Tulia Ackson), Waziri wa Kilimo (Hussein Bashe) na Wakulima wa Miwa

    TAARIFA YA UFAFANUZI YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU SINTOFAHAMU INAYOENDELEA JUU YA SAKATA LA UTOAJI WA VIBALI VYA KUINGIZA SUKARI KUTOKA NJE YA NCHI NA HATMA YA KILIMO CHA ZAO LA MIWA NCHINI. LEO TAREHE 29 JULAI 2024. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari...
  2. ILISACHA

    Wakulima wa miwa Kilombero wampinga Luhaga Mpina

    Wakulima wa Miwa katika Bonde la Mto Kilombero Mkoani Morogoro wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina na baadhi watu waliodanganya kuwa ni wawakilishi wa wakulima na kudai bei ya miwa imeporomoka na hawalipwi fedha zao kwa wakati. Hii ngoma amini usiamini maelekezo...
  3. Bulelaa

    Pre GE2025 Rasmi sasa Rais Samia kaamua kuwa bora zaidi. Je, atamuunga mkono Mpina?

    Ni dhahiri sasa mama kaamua kufanya na kudhihirisha ubora wake, japo kuwa baadhi ya watendaji wake hawaendi kama anavyotaka yeye, na wao bila ya mijeredi na kushurutishwa, hawafanyi kazi kabisaa zaidi ya mapambio tu Ukiachia mbali mapungufu machache kwake, Ndani ya sakafu ya moyo wa SSH, kuna...
  4. Heparin

    Pre GE2025 Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria

    Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu. https://www.youtube.com/watch?v=a5iWi_n2I8M Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa ni ile anayomshtaki Spika wa Bunge na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa kunyang'anywa na kunyimwa haki...
  5. zitto junior

    Luhaga Mpina anaongozwa na chuki na ukabila kuliko uzalendo na ukweli. Ushahidi huu hapa

    Habari za asubuhi wanajukwaa, kumekuwepo na sifa kedekede kwa Mbunge Luhaga Mpina kwa kinachoitwa uzalendo na uchapakazi. Lakini kinyume na wengi humu, sijawahi kukubali aina za siasa za Mpina sababu ni opportunist tu na hana nia ya dhati ya kuleta mabadiliko. Hapa chini nimeweka video Mpina...
  6. Erythrocyte

    Pre GE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

    Taarifa yake hii hapa === “Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa kufukuzwa Bungeni, kesi ya pili itakuwa dhidi ya Hussen Bashe, Mwigulu Nchemba, kamishna ya TRA na bodi ya...
  7. Cute Wife

    KUMBUKIZI: Mpina aliwahi kutoa mapendekezo Makamba, Maharage Chande, Bodi ya TANESCO washtakiwe kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

    Akiwa anaongea na waandishi wa habari Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande, Bodi ya TANESCO na Mkurugenzi wa kampuni ya Arab Contactors...
  8. britanicca

    Natamani nimsalimie sana Luhaga Mpina ana kwa ana ikibidi mama ampe Wizara

    Ni mawazo tu kwamba hivi Mama akitaka ku win watanzania ambao kuna baadhi wamekata tamaa 100% kuhusu viongozi wao kukumbatia uozo, ampe Mpina Wizara angalau si Kubwa Kama ya fedha ila walau Wizara asimamie Britanicca
  9. D

    Nadhani sura halisi ya Luhaga Mpina mmeiona sasa. Alitaka sukari iadimike mtaani ili lawama ziende kwa rais na serikali yake

    Wadau nadhani mmemjua vizuri sasa Mpina. Siku zote anastrugle kuungusha utawala wa samia. Kumbe ile skendo yake na bashe ni ili ahakikishe sukari inaadimika mtaani halafu wananchi wailaumu serikali. Jana nimesikia wakulima au wazalishaji wa sukari wakilalamika eti sukari sasa hivi imejaa kwenye...
  10. S

    Zaidi ya Wakulima wa miwa 11,000 Kilombero Morogoro wameungana na Mpina kumpeleka Bashe mahakamani

    Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao...
  11. S

    Soma: Taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge tuhuma dhidi ya Luhaga Joelson Mpina kudharau mamlaka ya Spika, Bunge

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA TAARIFA YA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE KUHUSU:- 1. MAONI YA KAMATI KUHUSU USHAHIDI WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUTHIBITISHA TUHUMA DHIDI YA WAZIRI WA KILIMO, MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI NA...
  12. M

    Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Hali ya Bashe sasa itadhidi kuwa mbaya baada ya Kilombero Sugar kutema cheche Wazalishaji sukari wavunja ukimya, wadai kutotendewa haki sakata la sukari Muktasari: Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na kutajwa kuwa wao ndiyo chanzo cha kupanda kwa bei ya sukari nchini, umoja wazalishaji wa...
  13. Wafuasi wa Rais

    Mpina analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CCM lakini hajahama wakati Msigwa analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CHADEMA na akahama!

    Je, kuendelea kuamini itikadi za kisiasa bado ni relevant kwa karne hii ya siasa za kisasa zaidi? Hapana. Nini kifanyike? Achana na itikadi za kisiasa. Baki kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Kila siku msaidie Rais wako. Rais ni nchi. Rais ni wananchi. Ukimsaidia Rais umesaidia nchi. Umewasaidia...
  14. K

    Ushauri wangu kwa Luhaga Mpina

    Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge. Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo...
  15. Tlaatlaah

    Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

    Ni dhahiri kuna hali ya kukata tamaa kabisa kwa muungwana huyu kuendelea kua mbunge, kuna kitu amehisi mpaka kujikuta na kujiita amekua mbuzi wa kafara. Hasira na mambo mengi aliyoyahifadhi moyoni kwa muda mrefu, kwa unyonge na masikitiko makubwa anafunguka, akiwa na sura ya hofu, na lugha ya...
  16. S

    Wanasheria wa Tanzania acheni kuwinda teuzi. Jitokezeni kwa wingi kumsaidia Mpina katika kesi yake.

    Katika kesi inayotarajiwa kufunguliwa na Mpina, natarajia kuona wanasheria wengi nchi hii mkijitokeza (kwa kujitolea) kumsaidia ili kuonesha uchungu ktk kuipigania haki hapa nchini. Wanasheria acheni kujiweka nyuma, kwa kujifanya waungwana ili kutengeneza mazingira ya kutafuta teuzi. Wenzenu...
  17. Cute Wife

    Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

    Luhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya bunge. Kusoma taarifa hiyo zaidi ingia kwenye link hii: Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge...
  18. Cute Wife

    Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

    Wakuu, Luhaga Mpina alipewa adhabu na Bunge Juni 24, 2024 baada ya kwenda kinyume kwa kuwasilisha taarifa yake kwa wananchi mara baada ya kuikabidhi katika Kamaati ya Bunge. Zaidi soma - Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15 Usiku huu tukio linarushwa...
  19. Nyankurungu2020

    Pre GE2025 Ushauri: Luhaga Mpina CCM wakizingua we komaa na Umoja party. 2025 maajabu yatafanyika

    Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya Watanzania.
  20. BabuKijiko

    Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15

    Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15
Back
Top Bottom