Luhaga Mpina, yule kijana aliyekuwa waziri , haachi ulalamika.
Hajui kuwa dunia inakwenda mbele, hairudi nyuma.
Hakuna anayependa kula matapishi.
Hili la kutaka uchunguzi eti juu ya kifo ch Magufuli, rais aliyekuwa hapandi ndege, rais aliyefungwa pacemaker kwa miaka zaidi ya 10, rais liyekuwa...