Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati.
Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi suala la Makinikia nimekuwa nikilifahamu hata kabla ya Mhe. Magufuli kuliweka kwenye meza ya...
Yule mbunge machachari mh Mpina ameipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kuendelea kununua ndege aishauri sass ijikite kwenye ndege za mizigo.
Source Star tv bungeni
Akiomba Bungeni kwamba Mh spika Aunde tume ya uchunguzi. Juu ya Ujenzi wa Bwawa la Nyerere pamoja na Upandaji wa Bei za Mafuta pamoja na mbolea. Kwamba kuna wajanja wanatengeneza michezo kwa kisingizio cha vita ya Urusi.
Kusema ukweli Mimi namuunga mkono Mh mpina hali ni mbaya sana mtaani...
Mbunge mh Mpina leo ameichambua Bajeti ya serikali kikamilifu na haya yamejiri:
Mosi, amehoji kwanini Serikali inataka kuibadili ranchi ya Mifugo Kongwa kuwa shamba la alizeti ilhali kuna mapori chungu nzima?
Pili amewataka wabunge wakatae pendekezo la kuruhusu Waziri wa Fedha awe anatoa...
Akichangia hotuba ya waziri wa viwanda na biashara, mbunge Kisesa, Luhaga Mpina ameongelea mambo mbalimbali ikiwemo uhusiano kati ya sekta binafsi na umma, mikataba mibovu ukiwemo wa Tanesco na Symbion, bilioni 70 za mkataba wa maendeleo ya tehama Tanesco na Mahindra ya India, mkataba mpya...
Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais, Samia Suluhu Hassan (SSH) kwa kivuli cha kumshambulia Waziri wa Nishati...
Mbunge wa Geita Vijijini Mh. Musukuma amehojiwa na chombo cha habari na kueleza kwamba wavuvi wa Ziwa Victoria waliombwa rushwa na Luhaga Mpina, wakati akiwa Waziri wa Uvuvi, walipomnyima, basi alivunjavunja mitumbwi yao na kuchoma nyavu zao.
Baadhi wanakiri kumpa rushwa Luhaga Mpina. TAKUKURU...
Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepinga majibu ya Serikali kuhusu kauli kuwa hawana taarifa ya agizo la Mahakama kuhusu kurudisha mifugo ya wafugaji kama ilivyoamuliwa na mahakama.
Mpina amesema inashangaza na kusikitisha kuona kuwa, Mahakama ilishamuru wafugaji warudishiwe mifugo yao...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo, amekiomba Chama hicho kumhoji na kumchukulia hatua za kinidhamu Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa kile alichokiita kwenda kinyume na maadili ya chama.
Bulembo ambaye ni Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama hicho, ametoa ushauri...
TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYOITOA MACHI 30, 2022 KUHUSU BAADHI YA MAWAZIRI KUSHINDWA KUTOA MAJAWABU NA UFAFANUZI WA KINA...
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile...
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.
Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu...
*LUHAGA MPINA AIBUA BUNGENI SAKATA LA UPOTEVU WA SHILINGI TRILIONI 360.
MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina amehoji bungeni zilipo fedha za watanzania Shilingi Trilioni 360 ambazo Serikali ilipaswa kuzikusanya huku akishauri Mkataba baina ya Kampuni ya SICPA na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
LUHAGA MPINA AMSIFU BUNGENI MH. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KASI NZURI YA UJENZI MIRADI YA SGR KIPANDE CHA MWANZA- ISAKA NA MIRADI YA TARURA
"Mhe. Spika na mimi nashukuru sana kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia wizara hii muhimu sana, wizara ambayo inatunza rasilimali za W atanzania.
Na...
Mbunge Luhaga Mpina ametahadharisha mlipuko wa COVID19 usiwe kinga kwa watu waliozembea kukusanya mapato ya Serikali kwa kisingizio cha Ugonjwa huo.
Katika mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Fedha, Mbunge huyo amehoji namna Wizara hiyo inafuatilia ili kujiridhisha pale inapoambiwa sababu ni Virusi...
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara
Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa...
MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ametilia shaka ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa namna ilivyoripoti hasara ya sh. bilioni 60 kwenye Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na kusababisha mkanganyiko mkubwa kwa wananchi.
Mpina amesema kwa mujibu wa Taarifa ya CAG inaonesha...
MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema Jimbo la Kisesa Mkoa wa SIMIYU linachangamoto nyingi sana ikiwemo tatizo la uvamizi wa tembo ambao umekuwepo kwa muda mrefu bila kupata suluhisho la kudumu kutoka serikalini.
Amesema wananchi wanavamiwa na tembo mazao yao yanaliwa yakiwa shambani na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.