Kwanza nakushukuru Mh. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kwa kulivalia njuga hili jambo la mwanafunzi Lightness Shirima (22) ambaye baba yake Priscus Shirima alifariki Hospitali ya Mloganzila kisha wakakishikilia kitambulisho chake cha NIDA mpaka hapo atakapomaliza deni lake la milioni 9.
Labda kitu...
Hapa mnatakiwa mjiulize kwa kutumia akili sana. Kwamba sasa mnaekea wapi watanzania?
Tozo kibao kila kukicha. Matumizi ya ajabu ajabu tu. Kwanu Uhuru Kenyatta hana wajomba huko Usa?
Vipi kuhusu mikataba ya kijanja wizara ya nishati na madini. Mahindra tech, Lindi Lng.
Huu ndio mwanzo tu...
===
EU imemmwagia sifa kedekede Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania hasa kwenye Covid-19
EU inasema hali ya hewa kisiasa na Asasi za kiraia ni nzuri na imetengemaa na kila kitu kinakwenda vizuri nchi Tanzania,
EU imeahidi kuendelea kuifuatilia kwa karibu Tanzania na kuendelea kuisaidia...
Mheshimiwa JPM alikuwa na mapungufu mengi lakini jambo moja kwa hakika ni alikuwa hawezi kukaa na dukuduku moyoni. Hata alipowatumbua watu aliwananga hadharani kwanini amewala vichwa.
Wakati anatutangazia kuwa tusahau kuhusu gesi ya Mtwara kwakua tulishapigwa na hivyo basi tujikite kwenye mradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.