lukuvi

  1. Kama kweli Rais Samia alimaanisha hicho, basi huenda Lukuvi ni Waziri Mkuu anayengoja kuapishwa

    Kama Rais Samia kile alichokisema kuhusu Lukuvi (kuwa amemtoa kwenye uwaziri na sasa anamleta ikulu kuja kumsaidia kuwasimamia mawaziri, na atampa kazi maalum ambayo watanzania tusubiri kuja kutangaziwa) basi huenda ikawa ni nafasi ya uwaziri mkuu! Huenda kinachofanyika sasa ni kupima upepo wa...
  2. Kikatiba, Waziri Mkuu ndiye Msimamizi wa Mawaziri wote. Sasa Lukuvi na Kabudi watasimamia Mawaziri vipi?

    Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na Lukuvi haziko popote kwenye muundo wa serikali (yaani haziko kikatiba). Sasa hoja iko hapa. Katika...
  3. Alichokifanya Rais Samia dhidi ya Lukuvi na Kabudi kuwaweka kwapani ni kudhibiti kundi la urais 2025 dhidi yake, atafanikiwa?

    Ukitizama kwa jicho la ndani zaidi, Lukuvi na Palamagamba, kwa watanzania makini, na wazalendo wa kweli, bila ushabiki wa milengo ya kisiasa, watu hawa ni makini na weledi katika utendaji wa kazi ,na hili limedhihirika kwa michango ya watanzania wote kupitia mabadiliko ya baraza la mawaziri...
  4. F

    Mkuchika ni Mzee kuliko wote bungeni na Baraza jipya, kulikoni wadogo zake Lukuvi na Kabudi?

    Rais kasema Kabudi na Lukuvi umri umewatupa hivyo kawaondoa ili kuwasimamia Mawaziri vijana. Mbona Captain mstaafu George Mkuchika ni Mzee kuliko wao lakini kaachwa ktk Baraza jipya? Hapa Kuna jambo, waerevu watalibaini.
  5. Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  6. Siioni nafasi ya Lukuvi au mwingine aliyeachwa kwenye Baraza la Mawaziri kuwa Spika wa Bunge

    Ujumbe wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, kabla ya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, ulikuwa wazi. Ni kuwa mabadiliko ya Baraza yamefanyika ili 'kubaki' na wa kwenda nao pamoja 2025 na 'kuwapa nafasi' ya maandalizi wenye nia na 2025. Ndiyo kusema, waliotarajiwa kuachwa na Rais Samia ni wale ambao...
  7. B

    Lukuvi, Chenge, Kabudi kubalini mmezeeka acheni kujipigia kampeni za uspika, vijana kama Steven Masele kachukueni fomu wakikata jina freshi tu

    Hii siyo nchi ya WAZEE, siyo nchi ya familia flani ni nchi yetu sote. Hawa wazee wakubali umri umekwenda na wakubali ni wakati wa new generation. Leo Ridhiwani Naibu Waziri, Mama Mbunge anamuuliza mwanaye swali unategemea majibu gani? Kwamba Leo unyama wote aliofanya Lukuvi wakuweka maslahi...
  8. Kauli za kibaguzi za Lukuvi dhidi ya Zanzibar ndio ziliyofanya aondolewe uwaziri,

    Hotuba yake hii ya kanisani aliingiza siasa ambazo ziliibua mjadala wa ubaguzi kwa kusema "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam".
  9. Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

    Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha. Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo...
  10. William Lukuvi ndiye aliyekuwa kipenzi cha Hayati Magufuli

    Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM. Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.' Wakati fulani inasemekana baadhi ya mawaziri wenzake walipokuwa na mgogoro wa wazi na JPM walikuwa wanamfuata William...
  11. Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao 1. William Lukuvi Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
  12. Kuhusu Nyumba Za Kupanga Alizosema Mh. Lukuvi

    Waziri Lukuvi. Sisi wapangaji tunakupa kongole nyingi sana kwa tamko lako la hivi majuzi,, sambamba na hilo bado umeacha ombwe la uwepo wa madalali kitu ambacho sisi hatujaona umuhimu wake .. Serikali sikivu yenye viongoz sikivu tungeishauri haya yafuatayo kuondoa kero hiyo ya watu wanaitwa...
  13. Waziri Lukuvi apiga marufuku madalali kulipwa posho ya mwezi mmoja na wapangaji. Asema ni ujambazi

    Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi. Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo...
  14. C

    Kwako Amos Makalla kuhusu kamati ya kutatua migogoro ya ardhi Mabwepande

    Kwako mkuu wa mkoa, ningependa kuzungumza na wewe kuhusu kamati yako ya kutatua migogoro iliyopiga kambi Mabwepande Sidhani kama unajua kwa kina uhalisia wa hali ya huku kimazingira na haki za wakazi wa huku namna walivyozipata, kinachotaka kutokea wewe na ofisi yako ndiyo mtakuwa wahusika wa...
  15. K

    Waziri Lukuvi alitembelea nyota ya Dkt. Magufuli, hana uwezo nje ya dola na mbele ya msingi wa haki

    Mhe. Lukuvi awamu iliyopita alikuwa anazunguka na kutoa amri zakufuta hati kila siku huku akiwatetemesha makampuni ya upimaji wa ardhi yakimbizane na deadlines. Alionekana Kama anajua kazi yake na ana uwezo wakusimamia kazi ikaenda. Leo hii ameondoka aliyekuwa bosi wake na yeye amepotea Kwenye...
  16. M

    Waziri Lukuvi, kuna ucheleweshwaji wa makusudi wa hati za umiliki wa ardhi

    Kwako Waziri was ardhi mheshimiwa Lukuvi. Kumekuwa na ucheleweshwaji wa hati za umiliki wa ardhi kwa namna ya kimakusudi! Mtu unanunua ardhi , unalipia urasimishaji, mipaka inahakikiwa! Ukitaka hati sasa shughuli inaanzia hapo. Umeshalipa urasimishaji lakini unaambiwa subiria hati zitatoka ila...
  17. Kukwama kwa miradi mikubwa ya NHC kunaumiza, kunaliza kunasikitisha sana. Ni wazi Nehemia Mchechu alikuwa bora? kwanini Lukuvi na Jenista bado wapo?

    Wasalaam Ni wazi kila Mtanzania anajua kabisa hali iliyokuwa nayo shirika la nyumba la Taifa kabla ya ujio wa awamu ya tano ya Hayati John Magufuli... ni wazi kila mmoja wetu atakubaliana nami kuwa shirika lilikuwa limechangamka na lilikuwa na muelekeo mzuri sana na watanzania walikuwa...
  18. Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

    Kabla ya kutoka bungeni baadhi ya wabunge wa UKAWA jana, Professor Lipumba aliweka wazi aliyoyaongea kanisani waziri mmoja wa Serikali ya Muungano. Lipumba alisema kuna waziri kaenda kuhutubia kanisani kuwa "ikiwa Zanzibar itapewa mamlaka kamili basi mjuwe itaanzisha dola ya Kiislam". Jana...
  19. Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  20. J

    Wananchi wanyonge wa Chasimba Wazo wampinga Waziri Lukuvi wamwomba Rais Magufuli aingilie kati na kuwasaidia

    Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia. Wananchi hao wamesema uamuzi wa waziri wa ardhi wa kuwataka kumlipa mzungu tsh 6400 kwa kila mita moja ya mraba kufidia maeneo yao ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…