lula da silva

  1. Lady Whistledown

    Brazil: Aliyekuwa Rais 2003-2010, arejea Madarakani

    Rais wa zamani Luiz Inacio #Lula da Silva ameshinda kiti cha Urais Kwa asilimia 50.9 ya Kura zote, dhidi ya Mpinzani wake Jair Bolsonaro. Rais Lula alishindwa kugombea katika Uchaguzi uliopita wa Urais mwaka wa 2018 kutokana na kuwa gerezani kwa Siku 580 kabla ya hukumu yake kubatilishwa na...
Back
Top Bottom