lushona mathia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lushona Mathia achukua fomu ya ubunge ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini

    Uongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini umemkabidhi Fomu ya Ubunge Lushona Mathias mkazi na Mzaliwa wa wilaya ya Chato ili kwenda kupeperusha Bendera ya chama hicho huku akiahidi kwenda kutatua changamoto za wakulima , wafugaji pamoja wafanyabiashara wa Jimbo la hilo. Kupata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…