PreGE2025 Lushona Mathia achukua fomu ya ubunge ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini

PreGE2025 Lushona Mathia achukua fomu ya ubunge ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Uongozi wa chama cha ACT WAZALENDO Jimbo la Chato Kusini umemkabidhi Fomu ya Ubunge Lushona Mathias mkazi na Mzaliwa wa wilaya ya Chato ili kwenda kupeperusha Bendera ya chama hicho huku akiahidi kwenda kutatua changamoto za wakulima , wafugaji pamoja wafanyabiashara wa Jimbo la hilo.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Fomu hiyo , Lushona Mathias amesema wakulima wanashindwa kupitisha mazao yao katika baadhi ya barabara kwa kuwa mbovu na kupelekea kushindwa kusafirisha Mazao yao ipasavyo.

 
Anaamini kabisa atashinda ubunge kwa tume hii? Hii nchi inatakiwa vyama vibaki viwili tu vingine hivi havipo serious kabisa.
 
Back
Top Bottom