maabara za binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wenye maabara za binadamu wanauza na dawa wakati leseni yao haiwaruhusu. Ni hatari kwa afya za watu

    Ndio mtindo ambao wameuànzisha. Anampima mtu anampa na dawa wakati hana kibali cha kutibu ie ku prescribe dawa. Ni hatari kwa maisha ya watu? Upuuzi huu unashika kasi Tanga!
  2. JamiiForums Tanzania Kipi Bora? "Ubaya ulipwe na Ubaya" au "Ubaya ulipwe na wema"

    Haya mambo yanachanganya sana. Mtu anakufanyia ubaya halafu bado anakutaka radhi. Muda mwingine kosa lenyewe sio kosa linalotokea Kwa hatua Moja, unakuta Hadi kosa linalotokea limepita hatua kama tatu. Sawa, unaamua kusamehe na kusema naachilia yapite , kosa linakuja linajirudia Tena ukipiga...
  3. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya mtuangalie upya wanataaluma wa Maabara za Binadamu

    Habari wana Jf. Nimeona nilete mbele ya jukwaa hili jambo ambalo kimsingi linatesa sana kada hii ya afya yaan Medical lab personels. 1. Kuwepo kwa Provisional license ya maabara. Yaani ikiwa mtu amehitimu na amequalify kabisa kwanini unampa leseni ya matazamio? Unamtazama huyu mtaalamu akiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…