Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,,
Nauza vifaa vya maabara ya binadamu hivi vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center)
Vifaa ni vipya kabisa na havijawahi tumika kabisa.
Vifaa vilivyopo
1. Haemoglobin Tester
2. Microscope
3. Urine analyzer Machine...