#7.0 Uingiliaji wakati wa majonzi na mshituko#
Katika kushughulikia masuala ya kijamii ya hali ya kushtua au
hisia kali kama vile ukatili, kutumia nguvu, matumizi ya dawa
za kulevya, ufuska, maneno machafu, waandishi wa habari
watawasilisha ukweli, maoni, picha na michoro kwa uangalifu...