Hamna kipindi ambacho tunagitaji uhuru kamili wa Tanganyika kama kipindi hiki.
Kwenye hiki kipindi, muungano na katiba vimekuwa vikitumika kudhalilisha utu na hadhi ya Watanganyika.
Mtu anatoka huko kwao, nchi nyingine kabisa, lakini anatumia katiba na kivuli cha muungano kuwatimua Wamaasai...