Muungano, CCM na katiba ya mwaka 1977 ndio maadui wakubwa wa Tanganyika

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Hamna kipindi ambacho tunagitaji uhuru kamili wa Tanganyika kama kipindi hiki.

Kwenye hiki kipindi, muungano na katiba vimekuwa vikitumika kudhalilisha utu na hadhi ya Watanganyika.

Mtu anatoka huko kwao, nchi nyingine kabisa, lakini anatumia katiba na kivuli cha muungano kuwatimua Wamaasai kutoka kwenye ardhi yao ya asili ili tu maeneo yao wapewe wageni.

Kwenye kipindi hiki ndio tunaona watu wa upande fulani wa muungano wakipewa upendeleo wa hali ya juu kuliko wa upande mwingine.

Hawa kwao huduma za afya na matibbau yote ni bure kabisa, hawalipii hata shilingi moja. Rasilimali za Tanganyika ndizo zinarumika kufadhili gharama hizo za afya.

Upande ule wa muungano, watoto wao wanapata mikopo ya masomo kuanzia ngazi ya cheti wakati upande mwingine wa muungano kupata mkopo ni kwa mbinde ile mbaya.

Issue ya umiliki wa ardhi ni janga jingine. Mtu anatoka kwao huko Micheweni, anakuja na kimemo cha mtu fulani hivi mwanamke, halafu serikali za vijiji vyetu zinalazimishwa zitoe ardhi yetu ya urithi kwa bwana wa Micheweni.

Imefka leo tunasema hatutaki katiba ya 1977, hatitaki CCM wala hatutaki muungano
 
Katiba mpya, katiba mpya ni Muhimu sana,tupaze sauti!
 
Hitimisho....
1. Muungano uvunjike na hivyo kila nchi ijitegemee kuvyake.
2. Kwa kufanya hivi; ccm na katiba yake mbovu ya 1977, vyote kwa pamoja vitakufa kifo cha mende!Tanganyika huru itazaliwa, na wananchi watakuwa wazalendo wa kweli kwa nchi yao.

Kwa sasa ni vigumu kumkuta Mtanganyika mwenye akili timamu kuwa na uzalendo na nchi ya Tanzania iliyofungamana na Zanzibar ndani yake (huku hiyo Zanzibar wananchi wake wakiwa ni wazalendo zaidi kwa Zanzibar yao badala ya Tanzania yenye Tanganyika ndani yake).

Huu muungano ni wa kipuuzi (muungano wa changu changu, chako changu)! Uvunjike haraka iwezekanavyo ili kuinusuru Tanganyika na wananchi wake.
 
Moja ya mambo tunatakiwa tuyafanye kwa nguvu kubwa ni kupigania Utanganyika na Uzanzibari
 
Dhambi ya asili ilikuwa mwaka 1962 Nyerere alipoamua tuwe Jamhuri. Kuwa Jamhuri sio tatizo, ila soma hotuba yake ya kuachia uwaziri mkuu. Utaona malengo yake hayakuwa ya kizalendo kabisa.

Alisema wazi kuwa "sisi (akimaanisha yeye) anataka mkuu wa serikali awe na sifa na utukufu kama wa mfalme, hatutaki kuwa kama Uingereza amabapo vitu hivyo vimetenganishwa".

Na yote hii ilikuwa ni baada ya wabunge wa bunge la kwanza kumchachafya sana bungeni. Alikuwa anashambuliwa kama mpira wa kona. Akaona isiwe tabu, acha tuwe Jamhuri alafu Rais awe Mkuu wa nchi. Yaani Serikali, Bunge na Mahakama vyote viko chini yake in principle.

Alikuja kuyaona makosa yake akiwa amechelewa sana. Chatu aliowalea mwenyewe na kuwapa nguvu za kifalme wakaishia kummeza yeye mwenyewe.
 
Naunga mkono hoja, Katika kila ulichosema hapa licha ya kwamba umesema kwa mtazamo wa kisiasa lakini unaonaesha wazi kwamba si tu tupate katiba bali tupate katiba iliyobora zaidi.

Kwanza kabisa, tujiulize kuhusu muundo wa Dola yetu.
Muundo Bora wa Muungano ni upi..? Na pendekezo langu la Dola ya Tanzania yenye mihimili nne.

Pili Umezungumzia swala la ardhi nami naunga mkono na kutoa pendekezo la moja kwa moja lililopo kwenye www.katibampya.com limeweka ibara za kikatiba zinazotambua Umiri wa ardhi wa kimila, kwa sharti tu historia ithibitishe kwamba watu husika wa kimila waliishi eneo moja kwa muda mrefu zaidi ya mingo miwili, yaani miaka 200 kama historia itathibitisha hilo basi ardbi hiyo itahesabiwa kuwa inamilikiwa kimila na umiliki wake hautoitaji kuwepo kwa hati maalumu bali historia yenyewe ndio itakuwa kama hati rasmi.

Pia rasimu hiyo imeweka wazi kabisa katika ibara ya 2 kwamba Haki ndio uzaa mamlaka hivyo mamlaka zote hata ya ardhi imezaliwa kwa sababu haki ya umiliki ardhi ilikuwepo hivyo katika hali ya kuondoa migogoro na uporaji wa ardhi ndipo kulikofanya kuazliwa kwa mamlaka ya ardhi.

Napendekeza usome rasimu iliyo kwenye tovuti ya www.katibampya.com
 
Hitimisho....
1. Muungano uvunjike na hivyo kila nchi ijitegemee kuvyake.
2. Kwa kufanya hivi; ccm na katiba yake mbovu ya 1977, vyote kwa pamoja vitakufa kifo cha mende!Tanganyika huru itazaliwa, na wananchi watakuwa wazalendo wa kweli kwa nchi yao.

Kwa sasa ni vigumu kumkuta Mtanganyika mwenye akili timamu kuwa na uzalendo na nchi ya Tanzania iliyofungamana na Zanzibar ndani yake (huku hiyo Zanzibar wananchi wake wakiwa ni wazalendo zaidi kwa Zanzibar yao badala ya Tanzania yenye Tanganyika ndani yake).

Huu muungano ni wa kipuuzi (muungano wa changu changu, chako changu)! Uvunjike haraka iwezekanavyo ili kuinusuru Tanganyika na wananchi wake.
Kwan hawa waliokuwa wanatunga katiba ya 1977 au waliandika kuwa hakuna kubadilishwa kwa nnwanaogopa sana hivi kweli mtu anaogopa yaaana hawa watch hawamuogopi hata MUNGU maaana wakisikia Katia pumzi inakata
 
D
Hamna kipindi ambacho tunagitaji uhuru kamili wa Tanganyika kama kipindi hiki.

Kwenye hiki kipindi, muungano na katiba vimekuwa vikitumika kudhalilisha utu na hadhi ya Watanganyika.

Mtu anatoka huko kwao, nchi nyingine kabisa, lakini anatumia katiba na kivuli cha muungano kuwatimua Wamaasai kutoka kwenye ardhi yao ya asili ili tu maeneo yao wapewe wageni.

Kwenye kipindi hiki ndio tunaona watu wa upande fulani wa muungano wakipewa upendeleo wa hali ya juu kuliko wa upande mwingine.

Hawa kwao huduma za afya na matibbau yote ni bure kabisa, hawalipii hata shilingi moja. Rasilimali za Tanganyika ndizo zinarumika kufadhili gharama hizo za afya.

Upande ule wa muungano, watoto wao wanapata mikopo ya masomo kuanzia ngazi ya cheti wakati upande mwingine wa muungano kupata mkopo ni kwa mbinde ile mbaya.

Issue ya umiliki wa ardhi ni janga jingine. Mtu anatoka kwao huko Micheweni, anakuja na kimemo cha mtu fulani hivi mwanamke, halafu serikali za vijiji vyetu zinalazimishwa zitoe ardhi yetu ya urithi kwa bwana wa Micheweni.

Imefka leo tunasema hatutaki katiba ya 1977, hatitaki CCM wala hatutaki muungano
Duh 🙄 !
 
Wekeza kwenu kama ardhi hata wachaga hawataki kuuza ,tulieni kwenu acheni tamaa nchi yote hii unaenda kugombania ardhi zanzibar ..Akili za kikimbizi hizi , wekeza kwenu , wazenji kwa idadi yao tu ardhi bado ni ndogo .
 
Back
Top Bottom