Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa.
Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc.
Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine.
Nina mkasa wa rafiki...
Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha.
Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini,
Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN).
Kwa...
Jeshi, Polisi na Usalama msijihusishe na siasa na kuanza kupendelea vyama kwasababu inaelekea wananchi wengi sio washabiki wa vyama bali ni wapenda haki.
Vitendo vya watu kuona waziwazi wanaiba kura zao mnajenga uadui ambao utakuwa mbaya kuutoa.
Ushauri ni kwamba kuweni upande wa haki...
Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi.
Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata namba zangu.
Hr wa kampuni (B) alisistiza kuwa wanahitaji huduma yangu, na mimi pasina kusita...
Mwanasiasa yeyote duniani prominent ana maadui, wengine kwa muda wengine wa kudumu, na hii ni kutokana na aina ya siasa unazofanya
Siasa ni maisha ya watu, ni kupata na kukosa, siasa ni fedha na madaraka, Heshima na Urithi.
Sasa unapofanya harakati kuna utakaowaumiza kwenye kusema, kutoa...
JE WAJUA KUNA ALAMA ZENYE MAAGANO NA VIAPO? JITAHIDI SANA KUZILINDA MAADUI ZAKO WASIZIPATE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Alama!
Watu wengi hawana ufahamu Mkubwa kuhusu Elimu ya ALAMA.
Alama zipo nyingi Sana na zina matumizi Mengi Sana.
Alama ni kitu au Jambo linalobeba au kurejelea...
Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo.
1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani katika nafasi anayogombea, lakini mpinzani huyo hakustahili kuwa MBOWE.
2. Mbowe, kiuhalisia, hata...
Kwa CCM:
Kila mwenye uwezo wa kuongea ni tishio kwao.
Kila anayejitambua ni tishio kwao.
Kila anayekosoa ni adui kwao.
Kila anayekataa uchawa ni tishio kwao.
Kila anayeshuku ni adui kwao.
Kila anayefikiri ni adui kwao.
Kila aliye safi ni adui kwao.
Kila aliye na akili timamu ni adui kwao...
Ni dhahiri kuwa sasa hivi Lissu anaishambulia serikali ya CCM na Mwenyekiti wake wa CHADEMA Bw Freeman Mbowe kwa pamoja.
Kama tujuavyo ni kuwa siasa ya Afrika ni uadui na sio mashindano ya amani. Swali langu ni kuwa Je Lissu ameamua kupambana na maadui wawili kwa pamoja?
Je hawezi mmoja...
MWANZO 32:28
... Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila ISRAEL, maana umeshindana na Mungu na Watu, nawe umeshinda.
Israel yupo vitani na pande Saba hivi Sasa, Magaidi ya Hesbollah, Magaidi ya Hamas, Magaidi ya Houth, Mfadhili wa Magaidi Iran, Wanamgambo wa Iraq, na wengine wawili...
JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili watambulike kama ni Enemy of State.
Watajwe hapa kamati nzima kwa majina ili waone aibu yao na...
Kuna uvumi Iran inawasaidia Israel kwa kujifanya adui wao ili awaingize mkenge adui wa kweli wa Israel, amesema Noah mahakouf Hammed wa Lebanon
Ameshikilia point Tatu kwamba
1. Iran Ana play part ya kupoteza maboya kwa watu Huku Aki side na israel kwa kuvujisha Siri za kambi,
Anatuhumu kwamba...
Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache
1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
Mambo au Tabia Zinazofanya Kufifisha au Kudhoofisha Malango Yako/Nishati ya Ndani
1. 😞😞 Uzinzi au Ngono Hulela
Ni vyema kuwa na mke/mume au mtu mmoja kwa nia ya mahusiano na sio kutangatanga. Mara leo uko huku, kesho kule, hapo utavaa karma nyingi ambazo hazikuhusu. Sio kila umuonae anakufaa...
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao huo wa televisheni kutoka Qatar unatishia usalama wa taifa.
"Chaneli ya uchochezi ya Al Jazeera...
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando.
China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana...
Taifa lolote duniani lenye Rais ambaye anayeogopa kupambana yeye kama yeye na maadui zake na anatumia watu kumpambania jua lina hasara naye kubwa mno.
Jikite zaidi katika Neno 'Taifa Lolote Duniani' sasa eewe njoo na Hisia zako za 'Kuwashwawashwa' kwa Umpendae Hasira zangu nyingi za Simba SC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.