Nyakati na baada ya kifo cha hayati Magufuli, nchi imekuwa na makundi ama yaliyonufaika au kuumizwa:
1) Makundi ya wafayabiashara yaliyoumizwa na ubambikiaji kesi za uhujumu uchumi, na hata kufungiwa accounts zao za benki.
2) Makundi ya wanaCCM ya kale walioumizwa kwa kuachwa nje ya utawala...
Niliwahi kuja na andiko humu nikionesha huzuni yangu juu ya Kiongozi mmoja wa juu tena mwenye hadhi ya Udaktari aliyekuwa anaithibitishia Jamii kwamba kuna Mama kutoka eneo moja la nchi aliyekuwa na uwezo wa kushambulia Maadui zake akiwatumia Nyuki kwa njia ya nguvu za giza.
Kama haitoshi...
Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali.
Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii.
Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora...
Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab.
Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia.
Hata hayati...
Unakuta mwanamke hujawai kutembea naye wala kumfanyia baya lolote lile lakini bahati mbaya mahusiano yamevunjika tu ghafla, hakuna mawasiliano pande zote mbili lakini siku unamuona online umemtumia tu ujumbe wa kumsalimu povu linamtoka vibaya na tena haliishii hapo atatoa nyuzi zinazokuhusu wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.