Nyakati na baada ya kifo cha hayati Magufuli, nchi imekuwa na makundi ama yaliyonufaika au kuumizwa:
1) Makundi ya wafayabiashara yaliyoumizwa na ubambikiaji kesi za uhujumu uchumi, na hata kufungiwa accounts zao za benki.
2) Makundi ya wanaCCM ya kale walioumizwa kwa kuachwa nje ya utawala...