maafisa wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Trump wa Marekani amesema kwa maafisa wa Serikali wanao vujisha siri/taarifa za serikali wanapaswa kuuwawa/kunyongwa.

    Rais wa Taifa kubwa la Marekani ameyatamka hayo jana tarehe 14/10/2026 kuwa maafisa wote wa Serikali wanao vujisha siri za Serikali wanapaswa kuuwawa. Mnaonaje hata hapa kwetu utaratibu huu ukatumika?
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya maafisa wa serikali wanadhulumu sana watu kwa kigezo cha "kutekeleza majukumu ya kikazi"

    Nianze na tukio lililotokea juzi na likanihuzunisha mno. Watu wa maliasili wamepita barabara ya Nangurukuru-Liwale wakakusanya na kuchukua mkaa wa walalahoi wote wanaouza mkaa barabarani, wengi ni wanawake walioporwa mkaa wao aisee wamelalamika mno! Tukibaki na maliasili haohao, mtu akikutwa...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Wajue Maafisa wa Serikali na watu binafsi waliowekewa vikwazo na Marekani

    Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika. Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali ya Marekani huweka kwa watu mahususi badala ya kupiga marufuku au vikwazo vya jumla. Vikwazo...
  4. JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani walalamika kuibuka kwa "wasiojulikana" wakivamia na kuteka raia huku wakijifanya maafisa wa serikali

    Huko Marekani kumeibuka malalamiko wanazi wa MAGA wa mrengo kulia mkali wasiotaka wahamiaji wakijifanya ni maafisa uhamiaji(ICE) au wa wizara ya mambo ya ndani(DHS) wakivamia na kukamata watu wanaowahisi ni wahamiaji haramu na kuwashikilia kizuizini! Masikini US, kumekuwa kama utawala wa manyani!
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali

    Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali. Aidha Rais Mahama amesisitiza kuwa safari za dharura pekee ndizo zitakubaliwa na lazima zidhinishwe na...
  6. JamiiForums Tanzania Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  7. W

    JamiiForums Tanzania Gabon: Marufuku Maafisa wa Serikali Kusafiri nje ya Nchi kwa ajili ya Likizo

    Rais wa Mpito, Jenerali Oligui Nguema amepiga marufuku maafisa wa serikali wa nchi hiyo kusafiri nje ya nchi kwa ajili ya likizo. Pia ameweka ukomo wa likizo kwa muda usiozidi wiki moja kwa maafisa hao wa serikali Msemaji wa Serikali ya Mpito alifafanua kuwa maamuzi haya yanalenga kuhamasisha...
  8. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Ruto wa Kenya akiwataka Maafisa wa Serikali wenye Umri wa miaka 60 Kustaafu, mwingine duniani anawapa Uteuzi ili wamsaidie Kumdanganya

    Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko. Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto awalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Ruto awalaumu maafisa wa Serikali kwa uzembe kufuatia mlipuko mbaya wa gesi

    Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280. Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
  11. JamiiForums Tanzania Guinea: Mwandishi wa Ufaransa akamatwa kwa kuchunguza Ufisadi wa Maafisa wa Serikali

    Maafisa wa Jeshi wamemkamata Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Thomas Dietrich Mjini Conakry, alipokuwa akichunguza madai ya ufisadi katika Kampuni ya Serikali ya Mafuta (SONAP) huku kukiwa na ripoti za kuzorota kwa hali ya Uhuru wa vyombo vya habari nchini humo Vyanzo vya Habari vinasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…