maafisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Kuna Maafisa wa Ardhi wanataka kutuondoa kwenye maeneo yetu Wakazi wa Masimba kwa kisingizio tupo eneo la Airport (Tabora)

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Masimba upo karibu na maeneo ya Uwanja wa Ndege wa hapa Tabora, miaka kadhaa nyuma sisi wakazi wa hapa tulishuhudia mamlaka ya Uwanja wa Ndege ikipita na kuzungushia uzio maeneo yote ya Uwanja huo. Lengo lao kuu ilikuwa ni kuweka angalizo ili Wananchi wasije wakaingilia...
  2. Mkuu wa Mkoa wa Geita awafukuza kikaoni Maafisa wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita

    Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewamuru Watendaji watatu ambao ni Wafanyakazi wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa kikao cha Kamisheni Cha Mkoa (RCC). Uamuzi wa Shigela unakuja kufuatia kutoridhishwa na majibu ya maofisa hao wa GGML juu ya malipo ya...
  3. Maafisa waliomfungulia kesi Trump wafutwa kazi

    Huko Marekani hakupoi wala hakuboi. Trump kila kukicha anakuja na jipya. Wizara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu ya Mwendesha Mashtaka Maalum Jack Smith, iliyokuwa ikimshitaki Rais Donald Trump. Uamuzi huo...
  4. Pinda aelekeza maafisa ardhi kurejesha mawe ya mpaka wa Monduli na Longido

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewaelekeza maafisa ardhi katika wilaya ya Monduli na Longido kushiriki kikamilifu katika zoezi la kurejesha mawe ya mpaka ya wilaya hizo mbili yaliyong'olewa na kupoteza utambuzi wa mpaka huo. Naibu Waziri Pinda amesema...
  5. Rais Trump aanza kuwaondoa Maafisa wa Pentagon kule Ukraine

    Rasmi, Rais Trump ameanza kuwaondoa Maafisa wa Pentagon waliopo Ukraine na wahusikao na misaada pia kwa Ukraine. Hiyo ni kwa mujibu wa Vyombo vya habari huko Kiev.
  6. A

    KERO Afisa Utumishi anazungusha kubadili tarehe za likizo tokea Novemba 2024

    Tangu Novemba 2024 nimekuwa niliwasiliana na HRS wahuishe na kubadili TAREHE za likizo, mwezi Novemba ukaisha, Disemba umeisha mpaka sasa Januari kila siku nitabadilisha nitabadilisha . Wadau Ma-HR mlio humu na Ma-IT wa Halmashauri hivi kufanya mchakato huo ni masaa mangapi? Kuna ugumu gani...
  7. A

    KERO Maafisa biashara Ilala wanashurutusha wafanyabiashara kulipa fine kwa kutumia nguvu

    Hii imenitokea Niliandikiwa fine ya laki 3 Nikaomba control number Ila niliwaomba niwalipe siku inayofata wakakataa na kunilazimisha nilipe siku hiyohiyo. Baadae wakanipakia Kwa Bajaj peke yangu na kunipeleka stakishari police huku njian nikipewa vitisho na kuwekwa ndani usiku kucha bila utetezi...
  8. TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

    ============= Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya...
  9. M

    KERO Kuna maafisa Manispaa ya Iringa, Mtaa wa Kajificheni wamechimba mashimo barabarani na kuyatelekeza

    Mimi ni Mkazi wa Manispaa ya Iringa, Kata ya Ilala, Mtaa wa Kajificheni kwa niaba ya wenzangu tunaomba msaada wa kusemewa kuhusu shimo lililotelekeza kwa dhumuni la kutengeneza ‘kalavati. Kuna Maafisa ambao walikuwa wakishirikiana na Uongozi wa Serikali za Mtaa kuchimba mashimbo hayo kwa ajili...
  10. ACT: Tunaitaka SMZ ichukue hatua stahiki kwa Maafisa wa MIMCA na KMKM waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii

    TAARIFA KWA UMMA SMZ ichukue hatua stahiki kwa maafisa wa MIMCA na KMKM, waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii Hivi karibuni kupitia Mitandao ya Kijamii tumewaona Askari wa Kikosi cha Kuzuia Magendo (KMKM) wakiwadhalilisha na kuwapiga watembeza Watalii katika Bahari ya Kisiwa cha Mnemba...
  11. S

    Maafisa wa kampuni ya Barrick wakamatwa nchini Mali

    Maafisa wanne wa juu wa kampuni ya Barrick wamekamatwa na serikali ya nchini Mali kwa tuhuma za kampuni hiyo kutokulipa kodi stahiki. Maafisa hao wanashikiliwa tangu Novemba 26 mwaka 2024 na watapelekwa mahakamani iwapo serikali ya kijeshi ya Mali na Kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Barrick...
  12. Dr Samia jinsi alivyo waapisha maafisa wapya TMA monduli leo

    Nawapongeza sana Ltn usu walio veshwa lea nyota poleni kwaza na kozi pia hongereni sio kazi ndogo wengine wanatoroka tu msata (kihangaiko) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi katika sherehe...
  13. Ombi kwa maafisa forodha kama upo humu nakuomba Pm

    Habari ya jioni wakuu poleni na msiba, naomba niende kwenye maada tajwa hapo juu. naomba ikiwa kuna afisa wa TRA kwenye upande wa forodha kwa mpka wa Tunduma au makao makuu HQ nakuomba inbox nina shida nahitaji msaada maelezo yote utayapata pm
  14. Sheria iliyopitishwa na bunge inayowaruhusu maafisa usalama kutenda jinai na wasihojiwe ndiyo inatuletea matukio haya ya watu kuuawa na kutekwa.

    Very painful Karne ya ishirini na moja unaruhusu binadamu mwenziyo kuuawa na kuteswa kwa kisingizio Cha kutekeleza majukumu. Nani asiyejua Kuna bahati mbaya na ndiyo maana kwenye makosa ya mauaji yapo ya kukusudia na Yale ya kutokusudia. Sasa inakuwaje bunge letu, Baraza la mawaziri pamoja na...
  15. Polisi watoa tamko tukio la jaribio la utekaji Kiluvya, wasema uchunguzi umeanza toka aliporipoti Novemba 11, 2024

    Wakuu, Baada ya video kutoka ndio tunajuzwa tukio lilitokea juzi! Bila video kuja kitaa wananchi tujakua lililotokea uchunguzi ungefanyika kweli au ndio lingeisha kimyakimya, pengine na kaka wa watu kwenda kuchukuliwa tena mara hii wakiwa wamwjipanga? Halafu mbona wanaremba maneno hivyo "watu...
  16. T

    Oparesheni agua leseni inayoendelea Manispaa ya Morogoro. Faini Sh 100,000 kwa wasio na leseni inaingia mifukoni mwa maafisa mapato. Uhakika huu hapa.

    Kutokuwepo uelewa wa namna ya kufungua akaunti ya kufanya malipo mbalimbali ya Halmashauri nchini wa Tausi Portal ni chanzo cha maafisa mapato kujinufaisha. Huenda wizi huu unafanyika katika Halmashauri zote nchini. Katika oparesheni inayoendelea ya kukusanya madeni inayoendelea kwa...
  17. Msumbiji: Waandamanaji wachoma Moto kituo cha Polisi, Majengo ya Maafisa na Ofisi za Frelimo

    Wananchi wanaodaiwa kutokubaliana na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu katika maeneo ya Lalalua na Nampula wamechoma Moto Kituo cha Polisi cha Moma ikiwa ni mwendelezo wa Maandamano ya kupinga matokeo hayo Imeelezwa kuwa Wananchi hao walichukua Silaha aina ya AK 47 na kuchoma majengo mengine zaidi...
  18. Serikali yatoa maagizo kwa Maafisa Ustawi wa Jamii wa mikoa na halmashauri

    NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025. Mhandisi...
  19. W

    Maafisa Polisi wazuiliwa kuingia na Miili isiyojulikana Mochwari Jijini Nairobi

    Maafisa wa polisi walizuiliwa kuingiza miili isiyojulikana katika Makaburi ya Jiji la Nairobi kufuatia mvutano kati ya serikali ya Kaunti ya Nairobi na Huduma ya Polisi ya Kitaifa (NPS) Kulingana na serikali ya kaunti, hakuna nafasi katika mochuari hiyo wakidai imejaa, na ina uwezo wa kujaza...
  20. Maafisa usalama zaidi ya 700 wamuunga mkono Kamala Harris dhidi ya Trump kwenye Uchaguzi mkuu Marekani 2024

    Mbio za kampeni za uchaguzi nchini Marekani zimeendelea kuwa sukari na hii ni baada ya maafisa takriban 700 wa usalama wa kitaifa na wanajeshi nchini humo kumuidhinisha na kumuunga mkono Kamala Harris kwenye mbio zake za Urais dhidi ya Donald Trump. Kupitia barua yao ya pamoja, maafisa hao wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…