Kulingana na ombwe kubwa la ajira kwa vijana wengi serikali iruhusu mfumo wa ajira kuwa tofauti kidogo. Jana TAMISEMI wametoa takwimu kwa waombaji wa nafasi elfu 6 za ualimu kuwa mpaka jana tarehe 22 ni waombaji zaidi ya elf 87.! Hii ni zaidi ya hatari na ni hatari na huko mbeleni wanasiasa...
Muundo wa Halmashauri zetu zina idara 12 na vitengo 6. Hivyo kufanya jumla ya wakuu wa idara na vitengo kuwa 18 . Kabla ya kuondoka watalaam wa Maji kwenda RUWASA Halmashauri ilikuwa na wakuu wa idara na vitengo 19.
Idara zilizopo katika Halmashauri ni idara ya Elimu Msingi, Idara ya elimu...
Ni ukweli usiopingika kuwa Ili Uchumi wa Viwanda katika nchi yetu uimarike, ni lazima tutegemee Mali ghafi zaidi zinazotokana na Kilimo na Mifugo.
Hivi sasa uzalishaji wa mazao ya Kilimo hasa yale ya biashara mfano kahawa,pamba, mkonge, na mengineyo umeshuka sana kipindi cha karibuni. Hali...
Mlipuko huo ulisababishwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga aliyevalia vazi la kujilipua ambaye aliwaendea maafisa hao nje ya kituo cha wilaya ya Waberi majira ya saa tatu na nusu usiku kwa saa za huko, mashahidi walisema.
Maafisa watano wa polisi ni miongoni mwa watu wasiopungua sita waliouawa...
Hizi mbwembwe za awamu ya sita zipo kasi sana, anyway, yetu macho na masikio.
===
"Watumishi wote waliosimamishwa kazi na mashauri yao yamechukua muda mrefu waandike barua kwa Katibu Mkuu Utumishi na aniletee nakala kwa ajili ya kufuatilia"Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi...
Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao
Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila...
Wakuu hamjambo,ni matumaini Yangu kuwa hamjambo,mnaendelea na ujenzi Wa taifa kama kawaida.
Naomba twende kwenye hoja Yangu,nimekuwa nikifatilia swala la uhamisho kwa watumishi Wa umma na urasmu uliopo,ni ukweli usiopingika kuwa kuna haja ya Serikali kutoa tamko kuwa uhamisho umefungwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.